Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Ataitafuna hadi chupamnunulie RedWine tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataitafuna hadi chupamnunulie RedWine tu!
Hapo Mkuu ni pa kukimbia bila kuangalia nyuma.Hatari sana. Halafu wenyewe wanaona hali ya kawaida. Kabisa ninaziona roho ovu ndani ya mama mkwe
Tena za shetaniSio kweli,hizo ni spirit za kurithi
Wewe Mzee ushakuwa mtu Mzima acha uhuniNipe namba ya huyo mama mkwe wako.
Ana nyege tu ndio zinazompa hasira kali.
Mm ni mstaafu (over 60+) naamini tunaweza kuelewana Kiutu uzima nikamtuliza hasira na wenge lake.
Ndio ndio huenda alihisi akikuambia utamuacha,kikubwa kua karibu nae atakueleza tuuYaani nimempania ile mbaya, nadhani kuna siri katika hili ambayo yeye anaijua na bado hajaniambia
DaahNipe namba ya huyo mama mkwe wako.
Ana nyege tu ndio zinazompa hasira kali.
Mm ni mstaafu (over 60+) naamini tunaweza kuelewana Kiutu uzima nikamtuliza hasira na wenge lake.
Hii kama nilishaisoma, hujawahi kuileta miaka ya nyuma?Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.
Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.
Kuna kitu kiko very weird nimekiona. Mama mkwe ni mkali sana, ana hasira sana, akianza kupiga, hasira hazimuishi mpaka amuume na amtoe damu huyo anayempiga ndipo hutulia.
Jana nilipofika, mtoto wa nyumba jirani alikuja kuchota maji hapa, akaondoka akaacha maji yanatiririka bombani, mama mkwe akafoka sana kwa hasira na ukali wa juu.
Akaenda kwenye nyumba jirani akakavuta hako katoto, kakapiga sana kisha akakauma Sana mpaka damu zikamtoka, hakika kamjeruhi mtoto wa watu. Wenye mtoto wamepeka malalamiko serikali ya mtaa kesho kaitwa ofisini akajieleze.
Juzi jumapili mjukuu wake wa form 2 ambaye ni mtoto wa shemeji yangu kasahau biblia Kanisani kwa bahati mbaya, kapigwa Sana, Kisha akamuuma begani, kamuachia kidonda kikubwa Sana.
Nasikia ni kawaida yake kuonja damu kidogo, huwa anajikata kidogo apate damu. Hata akipika nyama anatenga ya kwake anataka iwe haijaiva, iwe nyekundu ndani.
Nilikuwa nimepanga tukae Hadi X mas, lakini kwa haya ninayoyaona, asije pandikiza hayo maroho kwa wanangu, kesho naanza maandalizi ya kurudi.
Je, hivi hili nyie wenzangu mnalionaje?
Ikijirudia kuna ubaya? Kimoja tu hakimtoshelezi mwanamke yoyote.Hii kama nilishaisoma, hujawahi kuileta miaka ya nyuma?
😂😂😂Aukubhonga ilopa abhanako, monga malopa hujho.
NilisikiagaMuache awaume wanao atapowan'gata weka mavi ya kuku aoze meno
Anataka mtoko na mkwe, atatulia.Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.