Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Pole sn.simu nilinunua mimi
Usingeivunja lkn si ingekusaidia mwenyewe. Hata ungeuza pesa yako ikarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sn.simu nilinunua mimi
Poor boy.nakuwa nmemkojolesha vyakutosha kiufupi nakuwa nmemwagia shudu zangu zakuzidi kwahyo namjua nje ndani teh teh teh teh anakuwa takataka tu kwangu
Mmmmmm tafuta pesa brooHabarini ndugu zangu?
Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwa karibu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.
Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.
Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana.
Nilimpenda sana!
Ulitakiwa umuache tu bila kufanya yote hayo........Newton alisema "In every action,there is an equal and opposite reaction"...............the more unavotumia nguvu kubwa kugombana ama kutofautina na watu ndio inavozidi kuathiri psychology yako,maumivu na chuki zakoHabarini ndugu zangu?
Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwa karibu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.
Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.
Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana.
Nilimpenda sana!
MKUU SAMAHANI HIVI WEWE NIWA KIUME AU NI MTOTO WA KIUME SAMAHANI KWA HILOHuu ni ujinga wa kiwango cha lami.
Unampigaje mwanamke ambaye sio mke wako?
Hata angekuwa mke akiwa msaliti muache kupigana ni dalili ya uzuzu.
Akauze mali yake nawe baki na tunguli zako au tafuta pengine pa kuzichomeka...basi
Sasa unavunja simu yako..? Uchi wake mwenye ameamua kuugawa kwa idadi wewe hutaki yaani unaweza kumzuia boss mtu asitumie mali yake ..Habarini ndugu zangu?
Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwa karibu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.
Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.
Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana.
Nilimpenda sana!
Chai💯Habarini ndugu zangu?

Daah! kwamba kugongewa ni kawaida?Mkuu Una umri wa miaka mingapi!?
ahahaa,,,pesa za kula ninazo mkuuTAFUTA PESA MKUU, wanawake sio wasaliti.
Yaani wanasema tenda wema uende zako simu ndo imesaidia kujua tabia za mwenza wake yeye ameivunja ndo nini sasa daaah yaaan nimeskitika sana!!!Kwanini umei umiza simu ambayo maskini wa Mungu haina makosa yoyote? Yaani mpaka umeipigiza chini ikavunjika? Pata picha ungekuwa ndio wewe simu, yaani umeuawa kwa makosa ya watu wazima wawili? Very stupid of you two.