Nahisi maumivu baada ya kugundua viashiria vya Usaliti

Mkuu
Habarini ndugu zangu?

Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwakaribu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.

Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.

Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana. Nilipmenda sana!
Umejidhalilisha sana aisee tafuta hela mkuu achana kupiga makofi wanawake huo sio ustaarabu na utaratibu kwa mwanaume.
 
Nunua matiikiti maji[emoji525] yasiyopungua sita kila siku kwa muda wa wiki moja, kisha yahifadhi kwenye jokofu kwa muda usiopungua masaa sita[emoji796]. Kila unaposikia maumivu piga tikiti maji moja huku ukijipiga kifuani na kusema mimi ni ng'ombe[emoji230]....baada ya wiki moja[emoji2783] maumivu yatakuwa yamekwisha[emoji736]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habarini ndugu zangu?

Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwakaribu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.

Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.

Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana. Nilipmenda sana!
Kwa hiyo hapa unaomba ushauri ama umeamua kutung'ong'a? Demu wako ana tako?
 
Ayo ndo mapenzi ya sku izi sa sjui unaumia nn kwan ukujiandaa kiakili kabla ya kua nae

Tupende kujiaminisha kua mpenzi wangu anawapenzi zaidi ya wawili ili ikitokea isikuadhiri ila kujiaminisha uko pekeako ndo shida huwa inakuja apo
 
Manzi ya twn unataka kula mwenyewe mzeebaba..?? 🤣. Ongeza juhudi kwenye kusaka mapene, bila hivo, kuna uwezekano mkubwa tukio kama hili litajirudia siku za usoni.
 
Habarini ndugu zangu?

Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwa karibu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.

Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.

Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana.

Nilimpenda sana!
Pole sanaa, karibu afisini kwetu tuone namna gani ya kukusaidia
 
Baada ya kujiridhisha kuwa anabanduliwa na mtu mwingine huwa na sababu ya kugombana naye na kumvunjia simu, ilitakiwa tu kuachana naye jumla, mbona pisi zipo za kumwaga tu unataka kujipa stress kwa kishimo hicho.
 
Habarini ndugu zangu?

Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwa karibu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.

Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.

Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana.

Nilimpenda sana!
Hio simu ulioivunja vunja ulimnunilia wewe?
Pole sn, ila mwanamke kufanya usaliti haipendezi
 
Ukimvua unakuwa umempunguzia nini?
nakuwa nmemkojolesha vyakutosha kiufupi nakuwa nmemwagia shudu zangu zakuzidi kwahyo namjua nje ndani teh teh teh teh anakuwa takataka tu kwangu
 
Lipa simu kwanza ndio penzi liishe

Yaani kwanza hujamuoa huna haki ya kumpiga.. roho mbaya tu ukikamatwa na wewe upigwe
 
Baada ya Adam kutengana na Lilith, ilimchukua miaka 600 kumpata Hawa(Eva)...

Ili ufikie malengo inahitaji upate muda wa peke yako kujijenga.

Ukipata tena mwanamke kopindi hiki, yatakuwa yaleyale.

Haya mambo ya usaliti yapo tangia kuumbwa kwa ulimwengu. Yakupasa kuwa shupavu. Hata ukilia hakuna wa kukusaidia maana kila mtu anapitia haya ila tu hajagundua. Tafuta pesa kula maisha.
Maisha yanataka nini zaidi?
 
Ana kazi bosi na nilikuwa nae bega kwa bega kuhakikisha kwamba anapata kazi. Ndio maana haikuwa shida yeye kunisapoti wakati nimekwama.
😆Aliyesema mwanamke sio ndugu yako hakukosea
 
Usije kujidanganya mwanamke anakazi atatumia hela yake kaka, mwanamke ameumbwa kuhudumiwa na sio kuhudumia
Ni kujiendekeza tu na roho ya ubinafsi😂 mbona akiwa na mtoto anamlisha?
 
Naomba ujifunze kitu kabla hujaua mtu:
1. Mapenzi na mkataba wa hiari wa kukutanisha viungo vyenu...dhamana yake ni UAMINIFU

2. Mmoja wenu akikiuka hili sharti la uaminifu...vunjeni mkataba ijiwezekana kwa amani.

3. Mwanamke ambaye hakai kwako yaani hujanuoa huwa ana wanaume sio chini ya 3-5 ambao amewa target wamuoe, yule mwenye dau kubwa hupewa nafasi ya 1...( japo sio wote lkn ni 90%)

4. Kwa 75% mke ni wa kwako akiwa kwako...nimeweka 75 kwasababu wako wengi wako ndoani lakini ni mali ya jamii.

ZINGATIA....kamwe huwezi kumiliki mwananke 100% kwa kigezo cha girl friend au mchumba....utakufa siku sio zako
Inabidi aishi nayo hii...Imekaa kikubwa sana.
 
Kwa jiji la dar kupata mwanamke alietulia na mwanaumme 1 ni ngumuu sanaaa.
Labda uwe vizuri kiuchumi na hivyo uyo atakaetulia na ww umkute ni bikra vyenginevyo kugongewa hakukwepekii
Hahahahahaha wapo matajiri wanagongewa
 
Back
Top Bottom