Nahisi maumivu baada ya kugundua viashiria vya Usaliti

Sasa kijana,ungesamehe tu mbona watu hutoa zaidi ya hayo na wakigundua wanasonga mbele bila longolongo na mtu...

Pole sana,ndio ukubwa huo na muda mwingine utajirekebisha kwa kufanya mambo kwa kiasi ili ukiumia usirushe makofi na kuvunja ununuavyo/kumpatia

Maumivu huja baada ya kupiga hesabu hasara mlizopoteza ikiwa mlikuwa mnafanya vitu kwa kutegemea kulipwa or kununua furaha kwa warembo wenu..fanya bila kutegemea chochote
asante sana. Nakiri kwamba sitarudia tena
 
H
Habarini ndugu zangu?

Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwakaribu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.

Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.

Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana. Nilipmenda sana!
😄 🤣 😂 Dating isn't real bro!!!

View: https://youtube.com/shorts/eR0wFjE_aNY?si=EbjdgpPpFf0a4K4M
 
Pole ndugu yangu.Hasira zimechangiwa pia na huo msoto wa kiuchumi unaopitia.Huwa hatufanyi hivyo wanaume.Hiyo siyo sifa ya mwanaume anayejiamini.Kwanini usingemuacha kwa siri kama alivyotaka kufanya Yusufu wa biblia kwa mariamu baada ya kugundua ana mimba.Umejiumiza moyo bure.nilidhani ungemshukuru Mungu kukuonyesha hayo uliyoyaona kwa sababu amekuepusha na mengine. Ila pia umri wako linaweza kuwa tatizo jingine
 
Back
Top Bottom