Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa kabisaHizo ulizokuwa unamhonga piga hesabu kila mwezi katoe sadaka Kanisani ya shukrani au mtumie Mama yako!
karibu sanaNisubilie hapo nikamlete waziri Gwajima uenda akatoa msaada
Mh,watu wengine hawakukuona,hawakuhisi kama mwizi au kibaka coz imekaa kimaigizo zaidi.Au ulitumia taaluma yako ya ulinzi??Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona!
Usije kujidanganya mwanamke anakazi atatumia hela yake kaka, mwanamke ameumbwa kuhudumiwa na sio kuhudumiaAna kazi bosi na nilikuwa nae bega kwa bega kuhakikisha kwamba anapata kazi. Ndio maana haikuwa shida yeye kunisapoti wakati nimekwama.
Pole sana kijana, sasa hukumbuki is umesema ulivyoyumba kiuchumi alikusapoti 😄 sasa nan kakwambia hela ya mwanamke inaliwa kirahis pasi kujua undani 😄 alkua anakuzuga na kwanini umchunguze bata wakat unajua unamla poleeHabarini ndugu zangu?
Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwakaribu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.
Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.
Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana. Nilipmenda sana!
Common sense is not common! Shukuru ulizaliwa kama ng'ombe!Nunua matiikiti maji🍉 yasiyopungua sita kila siku, yahifadhi kwenye jokofu kwa muda usiopungua masaa sita🕕. Kisha kila unaposikia maumivu piga tikiti maji moja huku ukijipiga kifuani na kusema mimi ni ng'ombe🐄....baada ya wiki moja🗓️ maumivu yatakuwa yamekwisha✅
Ukimvua unakuwa umempunguzia nini?Mwanamke ambae umemvua nguo tayari anakusumbua vipi!?
Hadi kuvunjiana sim wakati akikuacha ni anakuwa amekusaidia
umemalizaUsije kujidanganya mwanamke anakazi atatumia hela yake kaka, mwanamke ameumbwa kuhudumiwa na sio kuhudumia
Safi pambania ndoto zako mwanamke asiwe sehem ya ndoto zakoNashukuru sana. Hapa najengwa upya. It's men who raise a man!
Nashukuru sana mbwa mwenzangu!Mtoto ana miaka 24 huyu ana akili gani sasa bado utoto hujamtoka bdo hajanyanduliwa vya kutosha hawez kutulia na mwanaume maskini kwa umri huyo.. tafuta hela mbwa wew
Sasa kijana,ungesamehe tu mbona watu hutoa zaidi ya hayo na wakigundua wanasonga mbele bila longolongo na mtu...simu nilinunua mimi. Naamini huyo mpya atanunua tena nyingine
Naomba ujifunze kitu kabla hujaua mtu:unaweza kuwa sahihi mkuu maana tunatofautiana sana kwenye ku-handle emotions.
Kwanini umei umiza simu ambayo maskini wa Mungu haina makosa yoyote? Yaani mpaka umeipigiza chini ikavunjika? Pata picha ungekuwa ndio wewe simu, yaani umeuawa kwa makosa ya watu wazima wawili? Very stupid of you two.Habarini ndugu zangu?
Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwakaribu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.
Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.
Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana. Nilipmenda sana!
Najutia hilo la kumpiga ila simu kuvunja ilikuwa halali kwangu. Ni emotions tu na naamini sitafanya hivyo tena. She accepted my apology!Sasa kama mapenzi yamefika mwisho umempiga wa nini na simu umevunja ya nini.?
Mnatafutaga kwenda jela tu bila hata sababu