Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Sawa mkuu ,ngoja nitumie hiz dawa, nione hali itakuwaje, huenda kukawa na madonda ya tumbo,Uwezekano mkubwa yanaweza kuwa madonda ya tumbo au GERD , ila ni muhimu kujiridhisha kwamba hayo maamivu hayatokokani na shida inayo husisha moyo
Hivyo ufike hospitali ufanye vipimo zaidi X ray haiwezi onesha shida .
Pia mkuu iv vidonda vya tumbo haviwezekan kuonekana kwenye x ray?Uwezekano mkubwa yanaweza kuwa madonda ya tumbo au GERD , ila ni muhimu kujiridhisha kwamba hayo maamivu hayatokokani na shida inayo husisha moyo
Hivyo ufike hospitali ufanye vipimo zaidi X ray haiwezi onesha shida .
Huyo doctor ni specialist!? Kama sio unana na physician! Hizo sio dalili nzuri!Wakuu habari, nilienda hospital
Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo, walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema kam hali itaendelea basi nirudi tena pale...
Sawa mkuu pia
Unaviona kwa kipimo cha EndoscopePia mkuu iv vidonda vya tumbo haviwezekan kuonekana kwenye x ray?
Kwa xray maalum i.e itahusisha barium meal hapo ndio ataona vidonda kama vipo au endoscopePia mkuu iv vidonda vya tumbo haviwezekan kuonekana kwenye x ray?
Mimi sio Dr lkn taja dawa ulizopewa itasaidia piaSawa mkuu ,ngoja nitumie hiz dawa, nione hali itakuwaje, huenda kukawa na madonda ya tumbo,
Ila doctor mwenyew alisema haoni shida kwenye moyo.
meloxicamMimi sio Dr lkn taja dawa ulizopewa itasaidia pia
Tatizo linaweza kuwa Angina, haifiki Damu ya kutosha kwenye ambayo ndiyo inayobeba oxygenWakuu habari, nilienda hospitali,
Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema kam hali itaendelea basi nirudi tena pale.
Ila pia muda mwngine nahisi maumivu hadi upande wa kulia na tumboni.
Wakuu mwenye mawazo zaidi hapa?
Ila pia huwa nina tatizo la asthma haswa kipind cha baridi na upepo , huwa nakuwa naumia kifua, au hii inaweza kuwa sababu?
Mana pia nahisi kifua kizito kwa mbali hivi.
Aisee unaona kabisa patient ana dalili zote za PUD na unampatia Meloxicam?meloxicam
Loprin
Isorem
Huyu sio Angina ndio lugha za wagonjwa hizo 98% atakua ana PUDTatizo linaweza kuwa Angina, haifiki Damu ya kutosha kwenye ambayo ndiyo inayobeba oxygen
Wakuu habari, nilienda hospitali,
Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu
Umenyooka mkuu, mi sio dokta ila kuna dogo alikua analalamik hivyo hivyo huhisi maumivu upande wa kushoto akisema kwenye moyo. Akadai hadi akilala upande wa huo huhisi maumivu.Huyu sio Angina ndio lugha za wagonjwa hizo 98% atakua ana PUD
Kawaida PEPTIC ULCERS mgonjwa hua anasema anahisi mgandamizo kifuan na moyo pia maumivu tumbon na mgongoni (Scapula)
ni lugha ya kujieleza tuwanashindwa kuelewa kua pain inaradiate from epigastric
Dawa hiyo hapo mkuu, tizama katika mazingira uliyopo ukiona piga picha nitumie kuihakiki kisha nikupe maelekezo ya kutumiaWakuu habari, nilienda hospitali,
Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema kam hali itaendelea basi nirudi tena pale.
Ila pia muda mwngine nahisi maumivu hadi upande wa kulia na tumboni.
Wakuu mwenye mawazo zaidi hapa?
Ila pia huwa nina tatizo la asthma haswa kipind cha baridi na upepo , huwa nakuwa naumia kifua, au hii inaweza kuwa sababu?
Mana pia nahisi kifua kizito kwa mbali hivi.
Mkuu pud ndio nin?Aisee unaona kabisa patient ana dalili zote za PUD na unampatia Meloxicam?