Nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo, X Ray haioneshi kitu

Wakuu habari, nilienda hospitali,

Ila doctor nilivomuelezea kuwa nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo , walifanya x ray, ila haoni kitu, nikapewa dawa za maumivu nitatumia 2 weeks, akasema kam hali itaendelea basi nirudi tena pale.

Ila pia muda mwngine nahisi maumivu hadi upande wa kulia na tumboni.

Wakuu mwenye mawazo zaidi hapa?

Ila pia huwa nina tatizo la asthma haswa kipind cha baridi na upepo , huwa nakuwa naumia kifua, au hii inaweza kuwa sababu?

Mana pia nahisi kifua kizito kwa mbali hivi.
Unafanya kazi Viwandani kwenye Mazingira yenye gesi ya sumu Kama vile asernic??
Huyu sio Angina ndio lugha za wagonjwa hizo 98% atakua ana PUD
Kawaida PEPTIC ULCERS mgonjwa hua anasema anahisi mgandamizo kifuan na moyo pia maumivu tumbon na mgongoni (Scapula)
ni lugha ya kujieleza tuwanashindwa kuelewa kua pain inaradiate from epigastric
Yes absolutely!

Kutokana na hiyo patient history aliyoeleza, upo uwezekano mkubwa kuhusu suala hili.
 
Hpan mkuu sifanyi kazi niko tu
Ila nimepewa lo prin sjui ndo aspirin ya kutanua miship
Meloxicam
Isolem,
Ndio natumia hapa.
 
Pia
Huyu sio Angina ndio lugha za wagonjwa hizo 98% atakua ana PUD
Kawaida PEPTIC ULCERS mgonjwa hua anasema anahisi mgandamizo kifuan na moyo pia maumivu tumbon na mgongoni (Scapula)
ni lugha ya kujieleza tuwanashindwa kuelewa kua pain inaradiate from epigastric
mkuu saivi naon hat kwa upande wa kulia kwa mbali nikivuta hewa kwa nguvu kun vi maumivu hivi
 
Yes typical PUD
Tumia Omeprazole & ant acids
Antibiotic si muhimu sabab PUD za watu wengi HPYLORI NEGATIVE

Avoid spicy meals
Kula vizuri
Avoid acid meals

Mengine watakwambia wengine nshaanza kusahau
 
1. ECG: ni kifupi cha maneno Electrography na ni kipimo kinachopima umeme wa moyo, pia inapima heart attack au angina(maumivu kwenye moyo) 2. ECHO, ni kifupi cha maneno Echocardiogram ni kipimo cha kuangalia structure za moyo zipo vipi mfano kama moyo umetanuka, shida za valve za moyo n.k
 
Mkuu pud ndio nin?
10350-peptic-ulcer-disease.jpg
 
Sawa mkuu maana nilidhani ndio moyo umetanuka na mishipa yake, nikajua nimeshaharibika

Pia mkuu iv x ray inawez kuonesh moyo hata kidgo tu kama uko sawa au laah? maan nilitoka kwa daktar mkuu hospital ya kijeshi, ndio akanambia moyo ameuon kwa x ray uko normal ndio akaniandikia hizo dawa..

Yes typical PUD
Tumia Omeprazole & ant acids
Antibiotic si muhimu sabab PUD za watu wengi HPYLORI NEGATIVE

Avoid spicy meals
Kula vizuri
Avoid acid meals

Mengine watakwambia wengine nshaanza kusahau
A
 
Huyu sio Angina ndio lugha za wagonjwa hizo 98% atakua ana PUD
Kawaida PEPTIC ULCERS mgonjwa hua anasema anahisi mgandamizo kifuan na moyo pia maumivu tumbon na mgongoni (Scapula)
ni lugha ya kujieleza tuwanashindwa kuelewa kua pain inaradiate from epigastric
Vidonda vya Tumbo hivyo hakuna kingine.
 
1. ECG: ni kifupi cha maneno Electrography na ni kipimo kinachopima umeme wa moyo, pia inapima heart attack au angina(maumivu kwenye moyo) 2. ECHO, ni kifupi cha maneno Echocardiogram ni kipimo cha kuangalia structure za moyo zipo vipi mfano kama moyo umetanuka, shida za valve za moyo n.k
Sawa mkuu, gharama kwa hospital za kbinafsi zinakuaje?
Mana za kiserikal kma hio echo ni 40000 iv, niltak nipime , ila dokta baad ya kufany x ray akanambia haina shida.
 
hauna bima mkuu?
 
Vidonda vya Tumbo hivyo hakuna kingine.
Mkuu vidonda vya tumbo , c ni lazima uhisi maumivu tumboni?, kwa jan nilihis hal kam maumivu iv huko tumbon, na njaa sana, ila baad ya kuamka sihisi maumivu zaid ya kwenye upande wa moyo kwa kushitua shitua iv alafu hali inapotea, then na sometimes upande wa kulia iv, kwenye titi juu panawasha mda mwingne, na pia kam kuna ka maumivu kwa nyuma ya mgongo mbavuni, mda mwingne maumivu siyaoati kabisa yanapotea.
 
gharama sizani kama zinafika laki kwa vipimo vyote viwili
Sawa mkuu , samahn unanishaurije nimalizie doz nilizopewa nikacheki au nirudi tu hospital mkuu,
Au nitafte hospital binafs
 
Back
Top Bottom