Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbatabata ama jina linguine muwatawataSawa mkuu, nimepewa dawa
Basi kwa jina inaitwaje?
Mkuu hii nimepima leo kesho nafata majibuNenda kapime H pillory utakuja kunishukuru baadae
Hiyo "Loprin" nimewahi tumia ....meloxicam
Loprin
Isorem
Moyo ulipima mkuu?Hiyo "Loprin" nimewahi tumia ....
Na nyingine ivi inaitwa "Cardimon" ......zinansaidia Sana japo kichwa huwa kinauma balaa.....
Huwa napatwa na dalili kama za mtoa mada........mpaka nitumie hizo ndo hukwisha......
Sijui tatizo exactly ni Nini mpaka Leo.....
H.pyroli antigen test-negMoyo ulipima mkuu?
Vidonda vya tumbo?
Duu mambo ya uperation siyapendiFanya kipimo cha CT scan, mimi niko na shida kama yako ila mimi ni maumivu ya tumbo hasa upande wa kulia kwa juu kidogo nilifanya hicho kipimo na kinaonesha kuna shida tumboni inayohitaji upasuaji kwa kuwa imeshakuwa kubwa. Ila kama ingekuwa mwanzoni pengine isingehitaji upasuaji. Nakushauri ufanye kipimo hicho ili kama ni tatizo dogo uweze kutibiwa. Dawa za maumivu haziondoi tatizo bali hufubaza maumivu tu.
Mkuu hpo sijajua kabisa.H.pyroli antigen test-neg
Stool culture and sensitivity - no pathogen bact isolated.
ECG - nilicheki ..ila sikuambiwa majibu 2nd round. Na wala sikupewa dawa yoyote na yule daktar....
First round nlipopima Kuna sehemu niliona zimeandikwa Abnormal nn sijui ........akaisoma daktar ndo akaniandikia dawa hizo mbili Hali ikatulia.
So mpaka Leo zile dawa zilibaki vidonge vichache ,inapotokea ndo huwa natumia nakua sawa ila sijawahi jua shida exactly ni Nini .......
Swali nje ya mada Chief ,je inaweza kua na uhusiano na umeme wa mwili ? Maana huwa nipo sensitive Sana na napigwa shoti Sana na vitu vya chuma .......Sana.