Nahisi mikoa hii haijafanikiwa kutoa vijana maarufu kitaifa walio chini ya miaka 40

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Umaarufu kitaifa kwenye sanaa, michezo, mitandaoni, n.k.

Tuelewane kidogo, wawe ni vijana wasiozidi miaka 40 walioishi na kukulia huko, sio wazazi kutokea huko.

1. Katavi
2. Mara
3. Lindi
4. Singida
5. Simiyu
6. Njombe
 
Umaarufu kitaifa kwenye sanaa, michezo, mitandaoni, n.k.

Tuelewane kidogo, wawe ni vijana walioishi na kukulia huko, sio wazazi kutokea huko.

1, Katavi
2, Mara
3, Lindi
4, Singida
5. Simiyu
6. Njombe
Mara wako wasanii kama wakina Linex,Best naso wanatokea huko.
Njombe ambayo zamani ilikuwa ndani ya mkoa wa Iringa kulikuwa na msanii anaitwa Mike Tee alikuwa ni maarufu sana miaka ile ilikuwa ukitaka wasanii watano wakubwa na yeye jina lake lazima liwemo.
Ukija mkoa wa Lindi unawakilishwa na Harmonize.
Fuatilia vizuri.
 
Linex ni wa Kigoma, ila kwa sasa huwezi kumuweka group la watu maarufu,

Best Nasso wa Musoma ila sidhani kama ana umaarufu mkubwa kihivyo, sikumbuki mara ya mwisho katoa hit lini, kilichobaki kwa sasa muda mwingi anapiga shows zake bush, ni star wa huko vijijini.

Mike Tee alihit zamani miaka ya 2000, alikulia Iringa mjini sio Njombe na kashavuka 40

Harmonize wa Mtwara sio lindi
 
Achana na wakina Lady JayDee, kuna mtu maarufu Tanzania kama Nyerere? Au unaongelea Mara ipi?
Lady jay dee anatambulika ni wa Mara kupitia wazazi ila hajakulia Mara, na tayari kashavuka 40.

Nyerere kaacha legacy kubwa ila hatupo nae tena,
 
Kaa kwa kutulia, Julius Nyerere, Judge Mark Bomani, Judge Joseph Sinde Warioba, Mabere Marando and the list goes on. Au watu maarufu kwako wewe ni wale wasio na akili tu?
 
Hivi hata umesoma na kuelewa post ?

Hao ni wazee, wengine tayari ni wameshazikwa.
 
Kwako wewe watu maarufu ni kina Gigy Money tu, tukikutajia Judge Warioba hutaki.
Shida kichwa chako kizito sana kuelewa,

Kuna mikoa kama Mbeya utawakuta watu maarufu kitaifa kama

  • Wasanii - Rayvanny, Dizasta Vina, Izzo B
  • Wchezaji - Benard Kakolonya, Iddy Nado
  • Waigizaji wapo kinaa isairito
  • Maprodyuza wapo kina S2KIZT
  • Waimbaji wa Gospel kina Martha Mwaipaja na wengine wengi sana
  • Wachekeshaji kina Masanja, Eliud, n.k.
  • wakamaria maarufu kina Sativa

Sasa na wewe ndio uwataje wa huko Mara acha kuwakazania hao Marehemu na Wastaafu wa serikalini, hao karibia kila mkoa wapo.

Weka majina ya vijana maarufu wa huko achana na wastaafu
 
Mara wako wasanii kama wakina Linex,Best naso wanatokea huko.
Njombe ambayo zamani ilikuwa ndani ya mkoa wa Iringa kulikuwa na msanii anaitwa Mike Tee alikuwa ni maarufu sana miaka ile ilikuwa ukitaka wasanii watano wakubwa na yeye jina lake lazima liwemo.
Ukija mkoa wa Lindi unawakilishwa na Harmonize.
Fuatilia vizuri.
Mkuu kwanini unahangaika sana Kumuelimisha huyo Certified Fool (Bumunda) hapa Jamvini?
 
Shida kichwa chako kizito sana kuelewa,

Kuna mikoa kama Mbeya utawakuta watu maarufu kitaifa kama

  • Wasanii - Rayvanny, Dizasta Vina, Izzo B
  • Wchezaji - Benard Kakolonya, Iddy Nado
  • Waigizaji wapo kinaa isairito
  • Maprodyuza wapo kina S2KIZT
  • Waimbaji wa Gospel kina Martha Mwaipaja na wengine wengi sana
  • Wachekeshaji kina Masanja, Eliud, n.k.
  • wakamaria maarufu kina Sativa

Sasa na wewe ndio uwataje wa huko Mara acha kuwakazania hao Marehemu na Wastaafu wa serikalini, hao karibia kila mkoa wapo.

Weka majina ya vijana maarufu wa huko achana na wastaafu
Mara kuna heche
 
Back
Top Bottom