Nahisi mikoa hii haijafanikiwa kutoa vijana maarufu kitaifa walio chini ya miaka 40

Kaa kwa kutulia, Julius Nyerere, Judge Mark Bomani, Judge Joseph Sinde Warioba, Mabere Marando and the list goes on. Au watu maarufu kwako wewe ni wale wasio na akili tu?
Huyu anataka umaarufu wa aina ya wakina mwijaku na gigy money. Kwamba mjaluo au mkurya awe chawa, akate viuno au aimbe nampa papa
 
Jide kapata umaarufu akiwa under 40.
Sawa kwa sasa sio kijana tena, kwa sasa ni shangazi mkubwa mwenye biashara zake, muziki sio sana, halafu kitu kingine Jide ana asili ya huko kakulia Dsm.

weka list ya vijana wa sasa under 40, kama hawapo basi ukubaliane na post yangu kwamba mkoa huo ni moja ya mikoa ambayo haina vijana maarufu kitaifa
 
Sawa kwa sasa sio kijana tena, kwa sasa ni shangazi mkubwa mwenye biashara zake, muziki sio sana, halafu kitu kingine Jide ana asili ya huko kwasababu wazazi wake waliikulia Mara lakini Jide kakulia Dsm.

weka list ua vijana wa sasa, kama hawapo basi ukubaliane na post yangu kwamba mkoa huo ni moja ya mikoa ambayo haina vijana under 40 maarufu kitaifa
Katika nyanja ulizozi-specialize mkoa wa Mara hauna watu maarufu kitaifa, lakini kwenye nyanja zingine mfano uongozi, jeshini wapo.
 
Taja kwanza mifano ya hao wa mikoa iliyofanikiwa ili tujue unachomaanisha vizuri
 
Ukija mkoa wa Lindi unawakilishwa na Harmonize.
Mmmh Chitoholi ipo Lindi?

CHITOHOLI ipo Mnyawa, Tandahimba, mkoa wa Mtwara.. mwenyewe aliimba

-"Mpaka ku-Tandahimba... na ikaku-poteka (sio ikaku-pweteka) kalipambilile" kwenye wimbo wake wa [Teacher] maana yake "na ikikuuma nenda kaseme (yaan nenda kajinyonge)" hio sio Lindi ni Mtwara moja hio

Lindi sio asili ya Wamakonde, Lindi ni asili ya Wamwera (ndio wamejaa wengi), Wamalaba, Wangindo, Wamachinga na Wamatumbi, Wamakonde wanatokea mkoa wa Mtwara sio Lindi
 
Katika nyanja ulizozi-specialize mkoa wa Mara hauna watu maarufu kitaifa, lakini kwenye nyanja zingine mfano uongozi, jeshini wapo.
hizo nafasi sikuhizi karibia kila mkoa wapo

Mfano sikuhizi JWTZ vyeo vingi vya juu utawakuta watu wa mikoa mingine tofauti na tulivyozoea zamani

Mkuu wa sasa ni Mgogo wa Dodoma, aliepita ni Msukuma, Aliepita ni Mnyakyusa
Chief of Staff Mzanzibari
mkuu wa intelejensia ndani ya jeshi ni yule body guard wa zamani wa Kikwete
Mkuu wa pocurement ni mwanamke nahisi wa Arusha
n.k.

Halafu sikuhizi jeshini wanaangalia pia elimu sio kuwekana tu kama zamani, mkoa wa Mara kielimu upo chini sana, Mara hakuna hata vyuo vya maana na hata form 4 mkoa huwa unashika namba za mwishoni, Mara kielimu ilikuwa zamani enzi za ujamaa kila mkoa hawazidi wanafunzi mia wanaokwenda form 5 ila sikuhizi hamna kitu, halafu kitu cha ajabu pamoja na viongozi wote wa zamani walisahau kujenga kwao hata kambi nzuri za jeshi kitaifa au vyuo vya polisi, magereza, wanyama pori, n.k.

Kilichobaki labda polisi lakini nako sio kama zamani, watu wa mikoa mbalimbali wana vyeo vikubwa, Ma RPC wengi ni wa mikoa mingine
 
Kwa aina ya umaarufu ulioangazia wewe watu wa mkoa wa Mara sio rahisi kuwepo
 
Sawa kwa sasa sio kijana tena, kwa sasa ni shangazi mkubwa mwenye biashara zake, muziki sio sana, halafu kitu kingine Jide ana asili ya huko kakulia Dsm.

weka list ya vijana wa sasa under 40, kama hawapo basi ukubaliane na post yangu kwamba mkoa huo ni moja ya mikoa ambayo haina vijana maarufu kitaifa
Oyaa hivi unajua jiografia ya nchi na je uko intact na mambo. Unataka vijana maarufu kitaifa, ungetoa na mfano wa umaarufu upi au katika sekta ipi? Na unataka wa kuzaliwa au asili

We move with discipline and silence for a reason. Na umaarufu unaoutaka ni wa vitu laini kama sanaa na burudani.

Ngoja tukupeleke huko huko.

HIP HOP
Wakazi(Muikizu),
Nikki Mbishi (Mkurya)
Lord Eyes (Muikizu kazaliwa na kukulia Arusha).
Producer Nah Reel
Baraka The Prince (Mluo, kuita mjaluo ni chuki bahati mbaya nao wamekubali)-Bongofleva

WAPYA WANAOCHIPUKIA MUZIKI
Rasco Sembo
Were Mura.
MAIGIZO
Getrude Mwita a.k.a Kibibi

Tuna mpaka wamama wamewaimbia taarabu ISHA MASHAUZI (Mkurya)

Ila hatujafanikiwa kuwa na dizaini unazotaka za kichawa chawa hii kidgo inakuwa ngumu, au majivuno kama ya Mwakibete.
Vipi kama nchi tumefanikiwa kuwa na wataalamu wa fani za maendeleo walioleta impact katika taifa. Nitajie madaktari wawili, ma engineer wawili. Angalia vizuri media zina promoti nini na kwa nini..

NCHI NGUMU SANA HII
 
Hao karibia wote uliowataja wamekulia mikoa mingine lakini wazazi ndio wa Mara, sidhani hata kama wamewahi kuishi Mara zaidi ya wiki.

Ni sawa na Lady Jay Dee kakulia Dar ila wazazi ndio wa Mara

Huu sio uzi wa makabila, ni wa celebrities waliokulia mkoa flani, mfano Besti Naso inasemekana kabila lake ni la Tanga ila yeye Kazaliwa Musoma kwa hio ni Icon ya mkoa wa Mara bila kujali kabila lake, S2Kizzy sidhani kama kabila lake ni la Mbeya ila kwavile amekulia Mbeya ni Icon wa Mbeya.
 
Na Kukulia sehemu maana yake ni nini au miaka mingapi?

Hapa umekuja na mpya tena ya kuzaliwa na kuishi huko.

Haya former goal keeper wa utopolo Metacha Mnata, kiungo wa taifa starz zamani Baraka Gamba Majogoro

Sio kwa ubaya ila eleza unachotafuta vizuri tukusaidie, pia eleza wewe unatokea wapi ili tujue...
Maana wataalamu wa sociology wanasema history na biography ya muhusika inaweza kusaidia kumtambua mtu vizuri.
 
Back
Top Bottom