Nahisi mke mwenzangu anachepuka

Nahisi mke mwenzangu anachepuka

Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Wewe ni jinsia gani mkuu? Maana umesema mke mwenzako anachepuka mara tena mke wako
 
Blaza,watuu washatomber...washatomber blaza
 
Waombe Mods basi wakurekebishie kichwa cha habari yako. Maana kinaleta ukakasi.
 
Kwa mjini haya mambo ni janga unaweza Kuta mtaani unanuka watu wanayajua mengi usiyoyajua kuhusu mkeo,wanawake wanajali nyege zaidi kuliko familia ni Hadi wakiachika.
Dharau,kauli chafu,ukali,uwe mbali na simu yake ni kipimo kwamba umempata msaidizi.
WanawKe sio smart kwenye kucheat ukiwa mfatiliaji sababu mwanamke Hana uwezo wa kubalance upendo.
Atampa hisia zaidi mpya wa nje kuliko aliyemtolea mahari.
Hii ni michezo ya shetan ili apewe talaka akose ndani na nje akose pia.
Nje ni kutamu sababu ni Kwa temporary cha wizi ni kitamu kwa sababu hakidumu.
Huwa wanaelewa wakishaachika.
Muhimu pima kipi muhimu familia au heshima.
 
Ulimwengu umevaa bukta utafukuza sana,utopata malaika wote wanafanana labda ujiunge chama cha wakataa ndoa.
Wakati mwingine ukiwa seriously sana utaishia kuwa single mengine unaacha TU kwa ajili ya watoto.
Wanawake wanapotoshana sana wakiombana ushauri.
Mwanamke awe salama ni Bora amuombe ushauri mwanaume au mama mtu mzima atampa wa maana na si mwanamke mwenzake
 
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Unachokitafuta utakipata bro
 
Dawa ndogo mkuu hakikisha akirudi kutoka huko kila siku Ana liwa viwili na HASUBUHI kabra hajaenda huko analiwa viwili

ataacha mwenyewe maana atagundua kila siku anashughuri nzito nyumbani na mtaani
 
Mkuu unamaanisha uendelee kusubiri siku moja utakamata wakati ushaona dalili za kuchapiwa!!

Mi nadhani kujua yanayoendelea kwenye simu ya mkeo ni jambo la kawaida haya naogopa kufuatilia kwani ananini ambacho sipaswi kukijua, kama hana magumashi sidhani kama ataweka uzibe kwenye simu yake. Isitoshe mwanaume ni mtawala wa familia anatakiwa aijue milango yote ya familia yake unapokuwa mwanaume halafu kuna baadhi ya milango huna mamlaka ya kuifingua ujue kuna shida mahala.

Mi nadhani maswala ya kushauriana kutogusa simu za wake zetu kila mmoja aachwe anajua namna ya kuendesha familia kama wewe higisi simu ya wife wako basi hiyo ina apply kwako usishawishi na wengine wafanye hivyo.

Halafu tunatakiwa kujua kuwa mwanamke akianza cheating hawezi kabisa kuficha hisia lazima kama uko makini kuna signs tu utaziona maana wao hawajui kutenganisha tamaa na upendo akitamaniwa yeye anaingia mazima anaweza kuambiwa mtukane mmeo katikati ya tendo akakugongesha matusi yote. Ila sisi wanaume tunachepuka kwa kutamani ila upendo wa dhati uko nyumbani hata mchepuko ukitaja tu mkeo sijui nini huwa hatuko tayari kujadili huo mjadala.

Pia mwanaume yeyote rijali hawezi akatosheka na mwanamke mmoja tumeumbiwa kuchakata mbususu nyingi kadri iwezekanavyo. Hakuna cha haki sawa ni ujinga tu wa kimagharibi huo.
Speculation ni kitu mbaya sana kwenye mahusiano hasa ndoa. Za mwizi arobaini, huwezi kucheat siku zoooote pasipo kukamatwa, ipo siku tu anayecheat anakamatwa.

Ukishakuwa na uhakika unaweza kuchukua hatua
 
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Mkuu huna issues za kufanya mpaka ukipe kazi ya kufatilia wanawake? Fanya mambo yako huyo mkeo hata kama anafanya uasherati bado hajanogewa, siku akinogewa hata huna haja ya kutafuta ushahidi, atakuletea mwenyewe na kama hukumruhusu aondoke baada ya hapo atakufanyia vitimbi hakuna rangi utaacha kuona. Fanya mambo yako pisi kali sir god anazimwaga duniani kila siku, kata mti panda mti usiwaze
 
Mtumie video yako ukiwa na mwanamke mwingine mnapeana kiss hapo na yeye ata kasirika atakutumia ya kwake na mwanaume mwingine kisha case closed.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] jamani huu ushauri hapana
 
😂😂😂 Sasa atafanyaje ili kufanya mke nae apate sumu atoe ukweli wake vipi kwa upande wako ukitumiwa hivyo hutaweza kutoa sumu
 
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Mkuu wewe ukimpata Kwa bedi mchakate zaidi ya vile unavoweza kufanya Kwa Malaya

Mwanamke anahitaji vitu vikunwa viwili

Moja fedha

Mbili mnyuko wa k yake mpaka itoe harufu furujui
 
Mods msibadili hiyo Title.. iacheni hivyo hivyo inasaidia sana na wengine kutokukurupuka kufungua Uzi kiholela holela.
 
Ukisoma kichwa Cha Uzi na yaliyoandikwa unaweza tishika sana?
 
Back
Top Bottom