Nahisi mke wangu anachepuka

Nahisi mke wangu anachepuka

Huyo mtarajiwa wako anapenda sana tamthilia na inaonyesha wewe unarudi wakati tamthlia inaendelea. Kwahiyo anao a kero kunyanyuka tamthlia itampita.

Hiyo show yako ya 40+ minutes huenda kwake ni muda mrefu hivyo kufanya mara kwa mara hataki.

Halafu! mbona unacharaza mtu mzima mwenzako namna hiyo! Hiyo sio tabia nzuri. Mahari yenyewe hujamaliza kutwa kupiga mwenzako.Utakuja kumuua bure wewe kaa hata usioe. Maana it seems you are so abusive.Sipendi mwanaume anaepiga mwenzi wake. Am sorry to say that. Yaani sipendi.
 
Hahahhahaa ila kuna wanawakr tumetofautiana manyanyaso aise na mateso..mtoa mada una bahati asiee umempata huyo mwanamke...
Eti kudinya😶!yaan ww unatoka tu kazini unataka kumpanda dada wa watu kisa unataka kumuoa? Mapenzi gan hayo jamani? 😀😀! Dizaini unamnyanyasa aisee .uwi ..! Ptu
Eti kumpanda?🤣🤣🤣
 
Bro kukaa miezi 8 tu tayari mshatembezeana mijeredi kiasi hichi kisha bado una wazo la kutaka kufunga nae ndoa maisha si mtauana nyie
Hapana mke hapo
 
Kumbe mahari ulikuwa hujalipa bado na unataka kupiga yeye kuni kila baada ya kazi jombaa
any way lipa hiyo mahari uondokane na kipimo cha uchi uwe unatandika yeye kuni venye unataka
 
Mwanzo hakua hiviii Ilikua anakuja Gheto nakula mzigo bila tatzo
Kula mzigo bila tatizo ni kumjua?

Tatizo liko hapa mkuu;-

Inaonekana ukirudi jion humuulizi ameshindaje, humchombezi wala nini...! Yaan unafika tu unadai maji ya moto, unaoga (no romance) unamwita aje kitandani unadandia unapiga, haja zako zimeisha unampa mgongo unakoroma hadi majogoo.. Unaamka, unadai maji/chai unapiga then kazini.

Yaani, unakuwa nae karibu pale unapohitaji mzigo, it seems like haupo romantic mkuu.

BADILIKA MKUU!
 
Naendelea...

Alivyofika dar maisha yakaendelea kama kawaida. kwa siku za mwanzo hakuonesha mabadiliko yoyote ad nkajisifu kuwa nimefanikisha kumbadilisha kukbe nilikua najiongopea tu.

Kuna kijitabia akakianza, Ukitaka kumdinya kama ndio kwanza kamalza kula bas hataki ad chakula kishuke na mimi mda huo nakua nimetoka job kwaio nikijilegeza tu kitandan usingizi huooooo ad morning na nikimwamsha asubuh nikitaka kudinya bas ooh tumbo linaniuma sababu kibaaaao nikawa najiulza huyu ana nn.
Dah pole sn kaka...sikushauri uendelee naye maana ukishamuoa itakuwa Mara kumi ya anavyokufanyia Sasa hivi...piga chini huyo hafai
 
Ungempelekea moto hukohuko bafuni! Au alitaka kubadili mazingira ya mgegedo?? Anyway kumbe u mume mzuri hutaki maneno umejichemshia zako mwenyewe!
 
Story yako mwanzo hadi mwisho linakua na matukio kadhaa ya kupiga! Why inakua hivo!? Kama unaona tabia yake inakushinda mwanamke muache aende wewe ukipigwa utajisikiaje!? Au bingo yako aje kwako kukulalamikia anabondwa na mumewe utachukua uamuzi gani!?

Nina mke mwaka wa 11 sijawahi mpiga hata kumtishia, sijawahi piga watoto wangu! Weka misimamo ya vile unataka maisha yako yawe kupiga sio suruhisho! Unampiga mwanamke baadae baby I love you unampandia juu! Acheni mambo ya hivo!
 
Poleni sana Wanaume wote mnaomegewa maana idadi inazidi kuongezeka kila iitwapo leo.
 
Back
Top Bottom