Nahisi mke wangu anachepuka

Pole kwa KUOA
Usihukumu,,,, kuna Mirinda pia siku hizi..

Mkuu acha kifuatilia mambo ya mkeo kama haujaamua nini utakifanya baada ya kukuta amechepuka kweli....

Utakuja kulia lia humu tena...

Thank me later...
 
Utakuwa unatafuna huko uliko so umekuwa na ladha mtawanyiko
 
Amini nakuambia hisia zako zipo sahihi. Kila mbo.0 inaitambua papuchi yake ya muda mrefu na kitumbua kikitiwa mchanga lazima upate mikwaruzo...... Once upon a time it happened to be true.
 
Hata kama unaishi nae kama ni tabia yake atachepuka tu,kama hujaona matukio live,Mwanaume we ishi ukijua mkewangu hachepuki tu bas maisha yaendelee
 
Fanya uKUMAndoo.. Aahh,, ukomando mkuu. πŸ˜‚
 
Pole kwa hilo mkulungwa.
Ningalikuwa mm nisingetumia marafiki zake kwani inaumiza kuona kwamba Jambo Hilo unapeleka hadharani kwa marafiki zake(aibu &fedheha)
Pengine pia nisingetumia njia za kikomando...kwani zitaniongezea stress zaidi...
Inatokea wakati mwengine Kama hajisafishwa vzr kwa muda mrefu ladha inabadilika,Kama anakaribia au ametoka si muda mrefu katika mzunguko wake ladha pia inabadilika
N:B
Mpende Sana mkeo
Mjenge kiimani mkeo
Mwelimishe mkeo
NAWASILISHA.
 
Mrejesho
 
Pole kwa changamoto hiyo,lakini huo ndio ukweli kuwa ukihisi mkeo anachepuka basi tambua anachepuka kweli...Na kama hivyo ndivyo basi huyo keshapoteza hisia na wewe(let her go,walk away and move on)...
 
Kama huna uwezo wa kumuacha basi usimfuatilie, Epuka maumivu yajayo yaweza kuwa makubwa zaizdi ya yaliyopo sasa. Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…