Nahisi mke wangu anachepuka

Nahisi mke wangu anachepuka

Kwanza kiswahili ni ladha sio radha,pili huwezi kutambua kama mkeo analiwa kwa ladha ya papuchi.
Wewe usingemwambia kitu bali ungemtegea,ungemkamata
Mimi ndoa yangu ina miaka 20 na nilimhisi mke wangu anachepuka,nilichofanya,nilimtafuta dada mmoja ambae anatujua nikamla,then nikampa kazi hiyo ya kuchunguza na aliifanya hiyo kazi vizuri mno,nikamjua anayechepuka nae na wapi wanapochepukia,tukaweka mtego na niliwanasa live ila sikufanya fujo yoyote,niliwafumania na nilipepeleka shauri kanisani ambako huyo mke wangu anasifika sana kusali na kushiriki mambo ya kanisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ulitumia intelijensia ya kiwango cha Jasusi Mbobezi alietepeta mbele ya Magu!
 
Kwanza kiswahili ni ladha sio radha,pili huwezi kutambua kama mkeo analiwa kwa ladha ya papuchi.
Wewe usingemwambia kitu bali ungemtegea,ungemkamata
Mimi ndoa yangu ina miaka 20 na nilimhisi mke wangu anachepuka,nilichofanya,nilimtafuta dada mmoja ambae anatujua nikamla,then nikampa kazi hiyo ya kuchunguza na aliifanya hiyo kazi vizuri mno,nikamjua anayechepuka nae na wapi wanapochepukia,tukaweka mtego na niliwanasa live ila sikufanya fujo yoyote,niliwafumania na nilipepeleka shauri kanisani ambako huyo mke wangu anasifika sana kusali na kushiriki mambo ya kanisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Duh[emoji848].....
 
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa. Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli.
Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.
Nitumie rafiki zake kufatilia
Au niende kikomando
Kumuacha mwanamke mwenyewe hata kwa masaa kadhaa ni tatizo hasa hawa wa mjini ambao wengi ni lifeist.

Mke inatakiwa uambatane nae kila mahali uendapo kuhakikisha yupo salama sema tu ni mifumo ya dunia ya kisasa ila kimsingi tulitakiwa tuwe nao muda wote.

Adamu aliposinzia tu kwa masaa machache uharibifu mkubwa ulifanyika kwenye ubongo wa mkewe EVA ikiwemo kutinduliwa na snake man shedow! Kisha kusabisha wakatimuliwa Eden!

Sitaki kukuongopea ila kwa huo muda ni mrefu sana wa kutosha mtu kumtongoza na kumtafuna hata angekuwa mlokole au sista wa kanisa. Kifupi mkeo analiwa sema tu fanya umuhamishie uliko ili ukate mawasiliano yao na huyo fedhuli wake ila usichunguze. Ameliwa sababu genye hazina mpinzani
 
Kwanza kiswahili ni ladha sio radha,pili huwezi kutambua kama mkeo analiwa kwa ladha ya papuchi.
Wewe usingemwambia kitu bali ungemtegea,ungemkamata
Mimi ndoa yangu ina miaka 20 na nilimhisi mke wangu anachepuka,nilichofanya,nilimtafuta dada mmoja ambae anatujua nikamla,then nikampa kazi hiyo ya kuchunguza na aliifanya hiyo kazi vizuri mno,nikamjua anayechepuka nae na wapi wanapochepukia,tukaweka mtego na niliwanasa live ila sikufanya fujo yoyote,niliwafumania na nilipepeleka shauri kanisani ambako huyo mke wangu anasifika sana kusali na kushiriki mambo ya kanisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Aaaaa mkubwa umemuumbua wife rafiki dah .... Ulishindwaje kuyamaliza na mkeo mpaka ukamwanike kanisani?
Siku nyingine kaa nae myamalize wawili
 
Nikicheza na wewe FIFA 22 kwenye PS4 nitakumbuka hiyo moment na mechi nzima hata mwaka mbele ila tukisex within 30 minutes nitasahau how sex felt ila nitajua tu tulisex.

This nigga anasema anajua ladha ya K ya mkewe this is bullshit.
 
Kama ndoa yenu ni ya remote usitarajie hatachepuka. Cha msingi anzia pale ulipomkuta songa mbele usitake kujua ya kwenye chungu. Usipokuwa makini hiyo ndoa inakufa.
Ndoa ya remote ndio ipoje?
 
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa. Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli.
Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.
Nitumie rafiki zake kufatilia
Au niende kikomando
Kwani wewe huko mkoani huchepuki? Huwezi ukamuacha miezi yote hiyo hafu wazee wamtongoze achomoe, au analiwa kimasihara na Jamaa, anyway uwe unamuita mkoani hata mara 2 Kwa mwezi
 
Kwanza ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume kumtamkia mkeo kwamba anachepuka bila kua na ushahidi. Kimaadili ni kosa kubwa sana

Ni kawaida kwa mwanamke hasa akiwa na hasira/wivu kumwambia mwenzi wake kua ana wanawake wengine au malaya na wala isiwe na athar yoyote

Kwa mwanaume kusema hayo kwa mwenzako ni mwiko hadi pale utakapokua na ushahidi wenye mashiko na sio huo wa kufikirika/kudhania.

Hivi akikukomalia uthibitishe na ukiitwa kwenye kikao cha usuluhishi utaongea vitu kama hivyo? Umemshalilisha mkeo chief na zaidi unajidhalilisha mwenyewe kwa kutamka haya kwake na hapa hadharani
 
Kwanza kiswahili ni ladha sio radha,pili huwezi kutambua kama mkeo analiwa kwa ladha ya papuchi.
Wewe usingemwambia kitu bali ungemtegea,ungemkamata
Mimi ndoa yangu ina miaka 20 na nilimhisi mke wangu anachepuka,nilichofanya,nilimtafuta dada mmoja ambae anatujua nikamla,then nikampa kazi hiyo ya kuchunguza na aliifanya hiyo kazi vizuri mno,nikamjua anayechepuka nae na wapi wanapochepukia,tukaweka mtego na niliwanasa live ila sikufanya fujo yoyote,niliwafumania na nilipepeleka shauri kanisani ambako huyo mke wangu anasifika sana kusali na kushiriki mambo ya kanisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ikawaje stori haijaisha
 
Malizia
 
Back
Top Bottom