Nahisi mke wangu anachepuka

Nahisi mke wangu anachepuka

Vipi huko ulikohamishiwa kwa miezi hiyo yote 3 hukuchepuka?
Kama ulichepuka kaa kimya endelea na maisha yako na mkeo.
Kanuni iko hivi: Katika ndoa ya Kweli,ukitaka Mkeo/Mmeo asichepuke USICHEPUKE.
Na mwisho ukitaka kuishi kwa amani katika ndoa mwamini Mkeo/Mmeo.
 
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa. Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli.
Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.
Nitumie rafiki zake kufatilia
Au niende kikomando
ni zaidi ya ghubu.......


zaidi ya wivu.......

zaidi ya kutokujiamini.

Au una mchepuko ndio maana umeona ladha ya mkeo tofauti????


ila endelea kupandikiza mawazo ya kuchepuka kwa mkeo.. unachokitaka utakipata!!!
 
Hahahahah mpiga show atakuwa na mjulubeng XXL kashatanua wigo wa radha[emoji28][emoji28][emoji28]
Inawezekana hata huyo mpiga show hayupo ila chupa za soda ndio zinamaliza ndio zinapiga mchongo.
 
Kila kitu kinachoka pia

Sema wewe huko umeonja za namna mbalimbali ndo unatofautisha.

Iangalie familia yako achana na hisia
 
Siredi za hivi nso zinafanya vijana wasioe.
Kamda kafupi hivo mtu kashindwa vumilia, ukiumwa ni atakumalizia ili asipate tabu huyo.
 
Mkuu.. tuliza akili pitia tena radha ya mkeo pengine ulipoenda huko umeonja radha zingine tamu zaidi.. na ukarudia utamu wa radha ya mkeo unaona kama haipo sawa sawa hivi? Jitathmini mkuu pengine unampa kesi tu.. kwanza ulikuwaga mkoa gani? Mkuu nijibu fasta bila kufikilia
 
Kabla ya kufanya huwo ujinga wa kumfatilia mwanamke ambaye hujamkuta bikra,
Wafikirie watoto wako Kwanza.
 
Heri waachane kuliko kujifariji na ndoa inayonuka uzinzi
ukisema bora waachane ataacha hadi ndoa ngapi mkuu , maisha yalishabadilika sana siku izi karibia jamii nzima imejaa uzinzi hata huko unapopadhania akimbilie huenda ni pabaya kuliko atakapotoka ni kwa sababu tu unapaona ukiwa nyuma ya pazia.. mimi nashaur asonge mbele madamu hajamshika waziWaz dhana zilizo nyng huwa ni uongo ulio karibu na ukweli .
 
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa. Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli.
Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.
Nitumie rafiki zake kufatilia
Au niende kikomando
Ukishajua kuwa anachepuka unapanga kufanya nini?
 
Nikicheza na wewe FIFA 22 kwenye PS4 nitakumbuka hiyo moment na mechi nzima hata mwaka mbele ila tukisex within 30 minutes nitasahau how sex felt ila nitajua tu tulisex.

This nigga anasema anajua ladha ya K ya mkewe this is bullshit.
Inawezekana kabisaa yani kama K imeongezeka size unajua kabisaaaa
 
Nenda kanunue mapanga mapy na jambia moja Kali alfu weka chumbani kwenu bila kutaja kuwa utazitumia kwa Kaz gani lzm ataingiwa uoga mkuu na kuisi kuwa unataka kufanya jambo la hatari wee tulia zako ataacha hyo tabia mwenyewee
 
Aaaaa mkubwa umemuumbua wife rafiki dah .... Ulishindwaje kuyamaliza na mkeo mpaka ukamwanike kanisani?
Siku nyingine kaa nae myamalize wawili
Alishamchoka ukuona hivyo..
Yeye kaenda kumla mwingine ila hajaona kosa lake...atakuhumiwa na Mungu na yeye..bora wangeyamaliza ndn..amtandike ht mangumi
 
Back
Top Bottom