Nahisi mke wangu hanipendi

Nahisi mke wangu hanipendi

Kama vargina anakupa bila kumbaka,hayo mengine madogo madogo vumilianeni tu.
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Je wewe unampenda? Kama uliona hivyo, kwanini hukumpigia na kusikia angesemaje? Kama wewe umengoja kupigiwa, kwanini naye asingoje kupigiwa? Kimsingi, hakuna sababu ya kuanza kushuku. Fanya utafiti ujue tatizo ni nini na linataka suluhu gani badala ya kulalamika. Isitoshe hao wenzako hujui uhusiano wao na kama waliokuwa wanasema ni wake zao kweli ni wake zao. Upendo kwako hauwezi kutegemea ni mra ngapi kakupigia simu. Wengine wanaweza kukupigia wakati wako na hawara zao na wengine wasikupigie wakingoja uwapigie au kuogopa kukusumbua
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
huyo hakupendi kabisa
 
Mbona unasumbuliwa na vitu vidogo?ndoa yako ina muda gani?watu huonesha upendo kwa njia tofauti!!
Wewe hushawahi kumuonesha hizo ishara za upendo?Anza kuonyesha wewe huo upendo kwa vitendo,mke nae ataiga tu
 
Hapo sasa wazazi wanakosea sababu ndoa teali ni maisha ya watu wa2 hayapaswi kuingiliwa kabsa wazazi tunawapenda sana lakini kunamaisha ya ndoa nayo yananafasiyake
Wazazi wanaojua maana ya ndoa huwa hawaingilii ndoa za watoto wao. Wao wapo kwa ajili ya ushauri tena wakiombwa ushauri.

Shida wazazi wengine wanataka ku-control ndoa za watoto wao
 
Kijana mimi ni mzoefu katika ndoa naomba nikushauri:

Katika maisha usipende kujifananisha na wenzio maana kila ndoa ina jinsi yake ya kuiendesha. Kuna mwenzio anaweza kuona hiyo ya mkeo kukaa kimya wakati umesafiri ni bora kuliko kupigiwapigiwa. Huwezi jua maana hiyo kupiga piga kwa wake zao uenda ni insecurity ndio inasababisha hayo, wewe mkeo anakuamini ndio maana hakupigii.

Ndoa ni jinsi mlivyoamua kuishi nyie na wala si kuangalia wengine wanaishije. Kuna msemo unasema grasses are always green at the other side of the field lakini ukienda hiyo other side unakuta huku ulipotoka nako ni green zaidi
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Mosi kama una kifua kapime DNA hao watoto. Halafu mengine utajua mwenyewe.
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Mkuu una umri gani? Je mmezoezana kuwasiliana mara kwa mara? Usikute hata ukiwa kazini nyie hamuwasiliani labda kuwe na emergency

Na je wewe ulivyoona hajakupigia ulichukua hatua ya kumpigia kujua ameshindaje na anaendeleaje na watoto? Kumbuka love is both sides, kama wewe humpigii simu au huonyeshi kujali basi nae ataenda sawa na mdundo huo huo
 
Acha tamaa, inaonekana ni jinsi gani unapenda mbususu za nje. Usilipe baya kwa baya, anza wewe kuonyesha kujali mpigie kumjulisha juu ya safari yako pamoja na kumjulia hali yeye na watoto. Hali ya mwanzo itaanza kurejea taratibu.
 
Back
Top Bottom