Nahisi mke wangu hanipendi

Nahisi mke wangu hanipendi

Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Live you are own life my friend.Acha kuangalia Jirani anafanyaje especially Kwenye ishu za ndoa,as far as Mkeo hakusumbui no Problem.
 
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Naona lengo lako ni kula mbususu nje kwa kisingizio cha mke hakupendi, hebu tuambie huyo mkeo mlikutana wapi hadi mkaoana na kuzaa watoto ilihali hakupendi?
 
Wengi tu hawependwi sema ni vile wana vijipesa vya kula walau.

Na Kama mmejenga kijumba au vijumba basi mwanamke atakuvumilia huku akikupigia hesabu za mbali,

Fulia, uwe huna assets hata ya ngama uone halafu hata hela ya kula isiwepo na Yeye awe hana kipato cha kueleweka uone kama atakuvumilia na kukupenda kama Mwanzo ulivyokuwa nacho?!
 
mwanamke hajuumbwa kupenda ..yy anamheshimu yeyote kulingana na maitaji yake kutimizwa..nashangaa wanaume wanaojipa pressure za Bure..
 
Back
Top Bottom