Nahisi mke wangu hanipendi

Live you are own life my friend.Acha kuangalia Jirani anafanyaje especially Kwenye ishu za ndoa,as far as Mkeo hakusumbui no Problem.
 
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Naona lengo lako ni kula mbususu nje kwa kisingizio cha mke hakupendi, hebu tuambie huyo mkeo mlikutana wapi hadi mkaoana na kuzaa watoto ilihali hakupendi?
 
Wengi tu hawependwi sema ni vile wana vijipesa vya kula walau.

Na Kama mmejenga kijumba au vijumba basi mwanamke atakuvumilia huku akikupigia hesabu za mbali,

Fulia, uwe huna assets hata ya ngama uone halafu hata hela ya kula isiwepo na Yeye awe hana kipato cha kueleweka uone kama atakuvumilia na kukupenda kama Mwanzo ulivyokuwa nacho?!
 
mwanamke hajuumbwa kupenda ..yy anamheshimu yeyote kulingana na maitaji yake kutimizwa..nashangaa wanaume wanaojipa pressure za Bure..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…