Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Watu wanaoa ili wapate mwenza wa ndani na atakayesimamia nyumba. Kama wewe mke huwezi hayo basi huna faida yoyote zaidi ya kuwa liability ambayo kazi yake ni kutotoresha liability nyingi zaidi.

Kama wewe ni wale wanawake wasioweza kufanya chochote unategemea nini sasa? Hata mimi ningekuwa natafuna hiyo binti, utakuwa na bahati kama bado sijakutimua mpaka hatua hiyo.
 
Kama mada ilivyo...

Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.

Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
Pole,ila pia umejaribu kufanya tathimini ya wapi una shindwa kumjulia,yaweza kuwa mtu mwenyewe full kisirani mwanzo mwisho,vipi ikiwa house girl anamkea zaidi hadi roho yake imesuuuzika.
 
Si vyema kujenga dhana kabla ya kufanya uchunguzi na kujiridhisha,hata hivyo kama kuna dalili na mwenendo wa kutia shaka basi wewe kama abiria chunga mzigo wako..
Ukizingatia hakuna kitu ambacho kinaondosha akili zaidi za sisi wanaume kama tamaa! Ukifanikiwa kuidhibiti tamaa basi umeshinda yote.
Ni kweli watoto wa siku hizi wanavutia sana..lakini ni kuwa makini nao sana..kosa moja linaweza kuharibu kila kitu..
 
Sasa kama wewe mwenyewe majukumu yako huyajui kwa nini usisaidiwe?
 
Wewe deal na mumeo, achana na huyo mfanyakazi ila muondoe ....
NB: Jitathmin na wewe uwajibikaji wako kwa mumeo
 
Achana na kejeli za humu,send her back to the village
House girl wa siku hizi ni pasua kichwa,yaani unakuta house girl ametoka nyumba kama tano.
 
Back
Top Bottom