Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kwamba wake huwa mnajisahau sana, majukumu yooote anaachiwa housegal, anyway uko busy sana na kazii eeeh???Kama mada ilivyo...
Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.
Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
Mume hakosewi wanaume wote akili zinafanana ni kusema za yule zikiyumba kwa style fulani mwengine zitayumba kwa style tofauti so hata huyo unaemuona wewe bora halali na house girl huyo huyo ukimchunguza utagundua bar za hapo mtaani kwenu hakuna bar maid aliyemuacha na huyu mwenzako atamuona wa ajabu kisa analala na bar maids.Mpe nauli aende Kwao
Huyo mwanaume analala na hg! Pole ulikosea mume
Sijamaanisha hg sio mtu ila ametembea na hg ambae ni mmoja wa familia na yupo karibu na mkeweMume hakosewi wanaume wote akili zinafanana ni kusema za yule zikiyumba kwa style fulani mwengine zitayumba kwa style tofauti so hata huyo unaemuona wewe bora halali na house girl huyo huyo ukimchunguza utagundua bar za hapo mtaani kwenu hakuna bar maid aliyemuacha.
Na kwani house girl nae si mtu?utakuta mke aliolewa bikra hana ana bwawa but house girl kakutwa na bikra unadhani thamani ya huyo mkewe itaongezeka akijifariji alikosea mume?
😂😂😂😂Hana madhara lakini kulingana na hii post yako
kwakwel hana madhara labda kama alimsingiziaHana madhara lakini kulingana na hii post yako
kumbe wanalala na vibukta badala ya kanga?Mnavyolala na vibukuta kila siku kusema niache nimechoka oops mimi leo sitaki unafikiria nini cha zaidi.
Mwenzio alivyogundua akamtimua house gel, kilichofuata alipangishiwa nyumba nzima mtaa wa pili.
Ndo hivyo tena.
Neno i miss you ni neno la kawaida tu hata Mama ya gu namwambia hata Dada zangu.Kama mada ilivyo...
Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.
Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
Kusema ukweli sisi wanaume tuliokamilika kila sekta hatuwezi kuishi na Mwanamke anayefanya kazi.Mnavyolala na vibukuta kila siku kusema niache nimechoka oops mimi leo sitaki unafikiria nini cha zaidi.
Mwenzio alivyogundua akamtimua house gel, kilichofuata alipangishiwa nyumba nzima mtaa wa pili.
Ndo hivyo tena.
DUu umefukua kabuli.Hana madhara lakini kulingana na hii post yako