Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Condom zinapunguza utamu
sasa ukitaka utamu ukubali na madhara yake pia. Ndio hapo kidume unaenda zako pharmacy unachukua zako azuma 500g halafu unaenda kwa wa kienyeji wa buza.

Ukimaliza tu unajidunga dozi yako, hapo unalipiga bonge la suprise gono.
 
Msichana wa kazi anamwamsha baba mwenye nyumba ili afagie?
Maajabu haya...
Hata mke hatakiwi kumwamsha mume eti afagie..
Mke yupo bize na usingizi.. ngoja wamsaidie kumwamsha
 
sasa ukitaka utamu ukabali na madhara yake pia. Ndio hapo kidume unaenda zako pharmacy unachukua zako azuma 500g halafu unaenda kwa wa kienyeji wa buza.

Ukimaliza tu unajidunga dozi yako, hapo unalipiga bonge la suprise gono.
Nakugawa
 
Wewe ni mzembe na hujui wajibu wako. Kama house girl ambaye hajasoma, unamlipa mshahara anaweza kukuchukulia mume hapo hapo ndani ya nyumba.
Sasa kwani k nayo inaenda shule ndugu?

Mumewe anakula mzigo k,siyo elimu.
 
Kama mada ilivyo...

Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.

Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here

HUU UANDISHI NADHANI WEWE NDO HOUSE GIRL MWENYEWE.
 
Kama mada ilivyo...

Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.

Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
Punguza kitambi
 
Bora muondoe Housegirl haraka yaishe
 
Back
Top Bottom