Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Hana madhara lakini kulingana na hii post yako
 
Attachments

  • 8DFB0815-9EEC-45A1-BD7F-02E4B3552C14.png
    8DFB0815-9EEC-45A1-BD7F-02E4B3552C14.png
    421.3 KB · Views: 3
Kama mada ilivyo...

Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.

Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
It's fish there because the water is there
 
Wana JF wameamua kuside na kijakazi.Kazi ipo😄😄
 
Mwanaume anayetembea na mtu wa karibu yako jirani hg ndugu marafiki zako hafai! Hiyo ni dharau na ukosefu wa adabu
Bora atembee na watu wa mbali ambao huwajui hawakujui
Mwanaume anaweza kutembea na mtu yoyote, awe wa mbali au karibu, na yote sio sawa. Kwa kifupi wa mbali ndio hatari zaidi.
 
Kuushinda UZINZI kama mwanaume inahitajika ELIMU ya juu ya ufahamu.

Jikite ktk kile unaamini. Na sio kuhisi kukisia na mwisho kuumia.
 
Waliitwa wasaidizi wa kazi kwa maana.

Huyo ni msaidizi wako, muache akusaidie. Huoni ni faraja kujua mumeo anakojolea wapi kuliko angeenda kuranda randa nje.

Wewe ni mwenye bahati kumjua mchepuko wa mumeo na kuweza kumtumikisha juu.
Hawasomi biblia tatizo, toka enzi za kale, msaidi wa ndani alikua anamsaidia boss wake mpaka kubeba mimba
 
Mwanaume anayetembea na mtu wa karibu yako jirani hg ndugu marafiki zako hafai! Hiyo ni dharau na ukosefu wa adabu
Bora atembee na watu wa mbali ambao huwajui hawakujui
Iwe wa mbali au wa karibu usaliti ni ule ule mbaya kuujua tu, ili asiue mtoto wa watu ampe nauli tu asepe abakize hilo likitombile wapambane
 
Iwe wa mbali au wa karibu usaliti ni ule ule mbaya kuujua tu, ili asiue mtoto wa watu ampe nauli tu asepe abakize hilo likitombile wapambane
Nimempunguzia makali cz swali lake ameniuliza kama vile hajaona kosa la mumewe😂
 
mwanamke kazi unayo kwahizo imagination zako! kwenye ndoa haufiki mbali usipokuwa makini, fanya majukumu yako mfunanie mtu kwa bahati mbaya usifukuzie kufania.
 
Kama mada ilivyo...

Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.

Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here

Unaindea safari ngumu sana kwenye maisha yako, ondoa huyo House girl, usimuulize huyo Mume kitu.

Usitake kujua wala kuthibitisha chochote, utaivurugq Nyumba yako bila Sababu yeyote.
 
Back
Top Bottom