Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
House Girl hatakiwi ndani ya ndoa yoyote ile. Ukiona hivyo basi huyo mke ni liability. Huyo jamaa kakosea mke.Mpe nauli aende Kwao
Huyo mwanaume analala na hg! Pole ulikosea mume
Halafu asipofagia unamuona ni mchafu hafanyi usafi.Nikaona akasema naomba nifagie
Pole,ila pia umejaribu kufanya tathimini ya wapi una shindwa kumjulia,yaweza kuwa mtu mwenyewe full kisirani mwanzo mwisho,vipi ikiwa house girl anamkea zaidi hadi roho yake imesuuuzika.Kama mada ilivyo...
Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.
Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
Kama hiyo profile pic ni wewe,nikuambie tu wewe ni mzuri una macho mazuriAsante kwa taarifa
Hujui wanaumeWewe deal na mumeo, achana na huyo mfanyakazi ila muondoe ....
NB: Jitathmin na wewe uwajibikaji wako kwa mumeo