Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Mi sijui Kingereza,,, ila siwezi kudiscuss ndoa yangu mitandaoni,Wacha tuendeleze na hii Yako uliyoiweka hapa.
Hajapoteza kitu ht, she is just sharing a moment with us kwahy nyie mnaochukulia mambo mnavyochukulia mubaki hvyohvyo...she is such a darling woman[emoji39]
 
Story haziwezi fanana copy and paste itakuwa ndio yeye bhana[emoji16][emoji16]

Yanii jirani yangu mama D alinielezea hayo yote yaliyoandikwa hapo na ushaurii nikampa sasa Leo nakuta hichi kisa ni copy kabisaa

Ila wanaume baba yao mmoja
 
Mumeo kabila gani na anafanya kazi gani na mpo mkoa gani dia?
 
Mbona inshu ndogo tu hii. Katika maisha kuna wakati unatanani kuwa alone. Kila mtu unamuona anakusumbua. Hii hali inatokana na mambo kadhaa.

1. Mipango ya kiuchumi kutokwenda sawa
2. Kuishiwa hela
3. Kufiwa na watu wa karibu.
4. Kugundulika kuwa una magonjwa makubwa
5. Mambo ya mapenzi kutokwenda vizuri n.k
6. Matatizo ya kifamila, ndugu n k

Mpe nafasi atuli. Usimsemeshe chochote acha afanye anajisikia for a while. Then atarudi kuwa sawa.
 
ndio kakuchoka sasa jiulize ulimfanya nini,je kipindi anakupenda ukikuwa unafanya kitu gani,ukishakijua hicho kitu basi kirudie kukifanya
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nanyimwa dada, Yan naomba bas umeninyima iyo..naomba bas unishike apa, wapiii anakataa[emoji23]
muache, kaa kimya, fanya majukum yako, akirudi akute umepika unanukia u msafi akija mtengee ale akimaliza ondoa vyombo kwa wiki mbili wewe usimuulize kitu usimgasi kwa lolote atakaa sawa, atajiuliza itakua una mtu anakupa furaha umeanza kumsahau.
 
Ulikosea kuacha kazi
 
Jamani I can't tag everyone..lakin thanks... honestly Niko vibaya.. vibaya Sana..nshalia mpaka machoz yameisha sasa nacheka Kama mjinga[emoji85]. Maswali Ni mengi..

jamani Mimi Ni msafi sijisifii... kitandan namkimbiza mbali kabisa [emoji85] pesa Sina yes nliacha kazi sababu alinipa option ya yeye au kazi na Mimi nikasema nakutaka wewe baba Sweetie....

Ni msomi[emoji41]Nina jiwe langu moja japo halinsaidii lakin poa tuu...

Sina mdomo..napenda love everywhere Everytime....Yan mahaba kwny kila hatua, asubuhi mpaka tulale Ila ndo ye hawez anaona disturbance...

Yawezekana kweli Kuna mahala nilimkosea..Ila nyie..I remember one night na sitokaa niisahau..nlimuomba Sana aniambie Nini nifanye ili tuwe sawa. The more namuomba ndio the more ananidharau.. Yan alinishusha mpaka level ya mwisho ya ubinadamu...akanitukaaana na kunisimanga .

But it's okay... Kuna aliesema why naeleza mambo ya ndoa [emoji4][emoji4]sharing with you doesn't make me lose a thing...Wala hatujuani... Huwez jua comments zitaeza save one lost soul.....nyie nampenda baba sweetie [emoji23]
Faithfully...
Mama sweetie..
Nawapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…