mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
We ma mzungu [emoji1787] Mimi Ni mama sweetie
Si nilikupa ushaurii ndoa ni uvumilivu anza kibadilika wewe na yeye atabadilikaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ma mzungu [emoji1787] Mimi Ni mama sweetie
😀😀😀😀😀[emoji1787] ndoa tamu we mad max, oa uone[emoji39] tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha[emoji1787]
Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia[emoji4][emoji4][emoji4] si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion [emoji1787][emoji1787] najipaka Vaseline ya watoto
Msiimalize ndoa kirahisi hivyo...🤣🤣🤣Ndoa imeshaisha iyo. Tafuta kazi mkoa mwingine ukaanze upya...
Dada hufanyi kazi?? Kama hauna tafuta cha kufanya.....tafuta hela jipe furaha, toka out,vaa,pendeza jipende,acha kulalamika [emoji28]Mume wangu aliponichoka...
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
I salute you!Msiimalize ndoa kirahisi hivyo...🤣🤣🤣
Ujue siku zote wanaume ni hunters, asimuache mumewe free, Ampe Kazi ya kufanya....apendeze, Yani ajipende apendeze....badala ya mume kuwaza kuwinda visoliwa huko nje awaze kulinda mkewe nyumbani....
Mume vitu viwili macho na pua, mume asione kwake Ila uzuri wake, asinuse ila harufu yake nzuri....sio mke ananuka vitunguu.
Akijitahidi mapishi na judo za bed, huyo mume akimwita mbwa, aje anirudishie Mimi hilo tusi🤣🤣🤣
Ndoa haivunjwi kirahisi hivyo, tuko kwenye mapambano makali na team kataa ndoa, tusiwape point🤣🤣🤣
NB. Mleta mada Bebi wa akiba muhimu, atakusaidia kukufanya upunguze shobo Kwa mumeo🤣
Msiimalize ndoa kirahisi hivyo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujue siku zote wanaume ni hunters, asimuache mumewe free, Ampe Kazi ya kufanya....apendeze, Yani ajipende apendeze....badala ya mume kuwaza kuwinda visoliwa huko nje awaze kulinda mkewe nyumbani....
Mume vitu viwili macho na pua, mume asione kwake Ila uzuri wake, asinuse ila harufu yake nzuri....sio mke ananuka vitunguu.
Akijitahidi mapishi na judo za bed, huyo mume akimwita mbwa, aje anirudishie Mimi hilo tusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndoa haivunjwi kirahisi hivyo, tuko kwenye mapambano makali na team kataa ndoa, tusiwape point[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NB. Mleta mada Bebi wa akiba muhimu, atakusaidia kukufanya upunguze shobo Kwa mumeo[emoji1787]
Si nliambiwa niache kazi na baba sweetie,na mi nkaacha[emoji17]I had money unajipaka vasselin ya watoto?
Sidhani kama imekuwa ghafla akawa hakupendi, Nadhani kuna mahala ulikuwa unakosea, Jitafakari, Rekebisha ulipokosea, Huenda ule upendo uliopotea ukarejea.Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena![]()
![]()
![]()
Unajua Kuna dada yangu yupo humu namuheshimu sana ana Hilo jina?ndio huyo?Mama D anazinguaa nilishampa ushaurii
Shida sio kama kakuchoka,inatakiwa na wewe uende na wakati,ubadilike kutokana na muda,badili mbinu za mapenzi using'ang'anie zilezile ulizoanza nazo ukajuwa zitafanya kazi milele,hata biashara kama ilikuwa imechanganya na ukabaki na mbinu ile ile miaka nenda rudi lazima itafika mahali utapoteza wateja,nenda na wakati,badili mapigo yako,utakuja kunishukuru...[emoji1787] ndoa tamu we mad max, oa uone[emoji39] tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha[emoji1787]
Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia[emoji4][emoji4][emoji4] si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion [emoji1787][emoji1787] najipaka Vaseline ya watoto
Unajua Kuna dada yangu yupo humu namuheshimu sana ana Hilo jina?ndio huyo?