ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kuchokwa na kukinahiwa ni sehemu ya maisha ya ndoa, ndoa is not a bed of roses kwamba kwa miaka yote mpo poa tu bila changamoto zozote.
It will pass, jitahidi tu kupendeza na kumvutia. Ila kama unaweza kutafuta shughuli ya kufanya itakuwa poa sana, huenda mkarejesha mahaba yenu.
Hakuna ndoa isiyokuwa na ups na downs.
It will pass, jitahidi tu kupendeza na kumvutia. Ila kama unaweza kutafuta shughuli ya kufanya itakuwa poa sana, huenda mkarejesha mahaba yenu.
Hakuna ndoa isiyokuwa na ups na downs.