Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Akili ku mkichwaUnamfundsha tabia mbovu sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ku mkichwaUnamfundsha tabia mbovu sasa
[emoji23]Utapakwa mgando kupenda wake za wanaume
Ht mm nmegundua hili mpm mno, Ila Ni vzr anavyofanya niulize kwann mkuu?Pole sana, comments zako zina reflect una uchungu sana moyoni japo unaweka emoji za kucheka [emoji22]
Hajapoteza kitu ht, she is just sharing a moment with us kwahy nyie mnaochukulia mambo mnavyochukulia mubaki hvyohvyo...she is such a darling woman[emoji39]Mi sijui Kingereza,,, ila siwezi kudiscuss ndoa yangu mitandaoni,Wacha tuendeleze na hii Yako uliyoiweka hapa.
Story haziwezi fanana copy and paste itakuwa ndio yeye bhana[emoji16][emoji16]
Mumeo kabila gani na anafanya kazi gani na mpo mkoa gani dia?Mume wangu aliponichoka...
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Mbona inshu ndogo tu hii. Katika maisha kuna wakati unatanani kuwa alone. Kila mtu unamuona anakusumbua. Hii hali inatokana na mambo kadhaa.Mume wangu aliponichoka...
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Atakuwa ni yeyeYanii jirani yangu mama D alinielezea hayo yote yaliyoandikwa hapo na ushaurii nikampa sasa Leo nakuta hichi kisa ni copy kabisaa
Ila wanaume baba yao mmoja
ndio kakuchoka sasa jiulize ulimfanya nini,je kipindi anakupenda ukikuwa unafanya kitu gani,ukishakijua hicho kitu basi kirudie kukifanyaMume wangu aliponichoka...
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
muache, kaa kimya, fanya majukum yako, akirudi akute umepika unanukia u msafi akija mtengee ale akimaliza ondoa vyombo kwa wiki mbili wewe usimuulize kitu usimgasi kwa lolote atakaa sawa, atajiuliza itakua una mtu anakupa furaha umeanza kumsahau.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nanyimwa dada, Yan naomba bas umeninyima iyo..naomba bas unishike apa, wapiii anakataa[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina mdomo[emoji4] mi Ni kamzungu flan mahaba tu Ila nakula za uso[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo uchukue yanguMi tugombane tu ila usinyimbe mbo**
Sasa mbo** nikitu ya kumnyima mtu kweli
Ijia yangu hakika uta enjoy[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nanyimwa dada, Yan naomba bas umeninyima iyo..naomba bas unishike apa, wapiii anakataa[emoji23]
Msingi kiuno sioNjoo uchukue yangu
Ila kivuruge🤣👍Uko wapi? Njoo tulewe wewe upo single km mimi tofauti yetu wewe una vyeti vya ndoa
Ulikosea kuacha kazi[emoji1787] ndoa tamu we mad max, oa uone[emoji39] tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha[emoji1787]
Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia[emoji4][emoji4][emoji4] si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion [emoji1787][emoji1787] najipaka Vaseline ya watoto
Ila kivuruge[emoji1787][emoji106]
Kwanini mkuuHt mm nmegundua hili mpm mno, Ila Ni vzr anavyofanya niulize kwann mkuu?