Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Age ishatembea, Ninyi wanawake age ikawaga pale kwenye hot season ndo huongoza kwa kuchoka wanaume, Sasa wanaume huwategea muda age inaenda mrama na wakati huo mwanaume ndo anakuwa wamoto kila kona anahitajika. Pole sana
 
Unajua age yangu?[emoji4] Mi bado super...
 
Amina
 
Asanteee sana
 
Waaaah, pole sana.
Unaonekana uko na akili nyingi sema sijui kwanini hujajua hilo ndo tatizo,
Fuata ushauri wa Mad max hapo. Tafuta tuu kazi au biashara heshima irudi.
Baadhi ya wanaume hawakujali kiivoo kama huna hela yako,na kama anakujali basi mda unavyozidi kwenda care inashuka hadi inapotea kabisa,ndo ulipo wewe sasaivi.
 
Uko vizuri saana .miushauri yako ni konki japo upo team kataa ndoa.hehhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…