Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Age ishatembea, Ninyi wanawake age ikawaga pale kwenye hot season ndo huongoza kwa kuchoka wanaume, Sasa wanaume huwategea muda age inaenda mrama na wakati huo mwanaume ndo anakuwa wamoto kila kona anahitajika. Pole sana
 
Age ishatembea, Ninyi wanawake age ikawaga pale kwenye hot season ndo huongoza kwa kuchoka wanaume, Sasa wanaume huwategea muda age inaenda mrama na wakati huo mwanaume ndo anakuwa wamoto kila kona anahitajika. Pole sana
Unajua age yangu?[emoji4] Mi bado super...
 
Umenifurahisha sana kusema kua umeokoka...ubarikiwe sana na kama kweli umeokoka utafahamu jinsi gani ndoa na maisha kwa ujumla ya wapendwa yanavyopigwa vita na shetani!!

Kitu unachokosea ni kumpa binadamu mwenzio nafasi zaidi ya Mungu wako aliekuumba!!


Umejishusha sana kwake adi sio poa...mpe nafasi, fanya mambo yako tumia muda wako mwingi kumtafuta Mungu...yeye zidi kumuheshimu na kumpenda kama mume... Ila katu usiforce mambo!!

BALI UTAFUTENI KWANZA UFALME WA MUNGU NA NGUVU ZAKE NA MENGINE YOTE MTAZIDISHIWA....!!!
Amina
 
Pole sana aisee!
Sisi tuliopo kwenye hii taasisi inayoitwa ndoa au mahusiano sirious tunakutana na hii hali sana, kuchokana na kukinaiana.
Tunashauriwa sana tunapojenga mahusiano na tuyajenge katika misingi ya urafiki,undugu, na uhusiano.
Kwamba mpenzi wako amekuchika katika engo ya mapenzi basi undugu mlioujenga unashika nafasi, mnakua kama kaka na dada.
Mkichokana na hapo pia urafiki unashika nafasi yake, ikitoka hapo mapenzi yanarudi kwenye nafasi yake.

Mleta mada ikiwa wewe ni mwanamke una uwezo mkubwa sana wa kurudisha uhusiano wako na mwezi wako kwa sababu njia nyingi zipo upande wenu wanawake tofauti na sisi, nyie mna nyezo na zana nyingi na zisizo tumia nguvu .
Sisi wanaume kwa mwanamke ni wadhaifu mno.

Jaribu kutumia njia za kike kumrudisha himayani mtu wako.
Asanteee sana
 
[emoji1787] ndoa tamu we mad max, oa uone[emoji39] tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha[emoji1787]

Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia[emoji4][emoji4][emoji4] si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion [emoji1787][emoji1787] najipaka Vaseline ya watoto
Waaaah, pole sana.
Unaonekana uko na akili nyingi sema sijui kwanini hujajua hilo ndo tatizo,
Fuata ushauri wa Mad max hapo. Tafuta tuu kazi au biashara heshima irudi.
Baadhi ya wanaume hawakujali kiivoo kama huna hela yako,na kama anakujali basi mda unavyozidi kwenda care inashuka hadi inapotea kabisa,ndo ulipo wewe sasaivi.
 
oya mtie wivu, anza kupendeza. rudi kazini au ata tafuta shughuli ya kutoka asubuhi kurudi jioni coz utakua unatoka umepiga umini au jeans kali unarudi ivo atajua kwamba ana wife pisi akizubaa anaibiwa na madereva crown.

Ila anatoka saa 1 asubuhi kakuacha na dera unafua fua anarudi saa 12 jioni bado upo na dera unasafisha nyumba, nani atakuiba. Mangi au muuza bucha?
Uko vizuri saana .miushauri yako ni konki japo upo team kataa ndoa.hehhe
 
Back
Top Bottom