Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Ukweli mchungu. Na iwe mlioana kwa sababu isio ya mapenzi ndio basi tena.As days go by, mnazoeana na kuonana wa kawaida tu. Kinachobaki ni kulea watoto na kusubiri wajukuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli mchungu. Na iwe mlioana kwa sababu isio ya mapenzi ndio basi tena.As days go by, mnazoeana na kuonana wa kawaida tu. Kinachobaki ni kulea watoto na kusubiri wajukuu.
Aisee. Ila kweli hivyo sio vitu vya kunyimana. Basi tu roho mbaya za watu.Mi tugombane tu ila usinyimbe mbo**
Sasa mbo** nikitu ya kumnyima mtu kweli
Kama uliacha kazi baada ya kuolewa hiyo ni technical error. Fanya namna upate kazi. Mwanamke mwenye kazi/biashara nzuri anapendeza na kuvutia zaidi ya mama wa nyumbani.Bwana equinox [emoji4] thank you..Ila ukweli Ni kwamba..Mimi Ni msafi kuliko kawaida....halafu vyote hivyo sio vipya nipo ivyo tangu ananitongoza mpaka Sasa tuna watoto wawili...nikimtega yes anategeka Ila ananifanya kwa faida yake[emoji24] akishakojoa huyoooo kuchat Facebook
Ndoa ni tamu basi tu hizi ups and downs.Kiukweli hata ndoa hii ikifa[emoji4][emoji4]ntaolewa Tena [emoji23][emoji23] kukataa ndoa ndo kitu nimeshindwa..Kuna ladha flan iviii
😅😅😅😅eti ndio.Ndio[emoji17]
[emoji2][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]eti ndio.
HahahaInawezekana hajiamini huyo mumewako!kwahiyo anakushusha ili ujione takataka zaidi.
Inawezekana pia nguvu za kiume zimeanza kupungua kwahiyo anakunyanyasa ili ukose kujiamini kabisa ujione haufai na huwezi kupata mwanaume wa kukupenda zaidi yake!yaani anakufanya uamini yeye ndio amekustiri wewe[emoji23]bila yeye huwezi kuishi[emoji23]!
Unyanyasaji ni miongoni mwa mbinu wanayoitumia wanaume wenye matatizo ya nguvu za kiume ili usiweze KUMUACHA!!,wanakua na shida sana!ubabe mwingiii,amri nyingi ndani tena za ajabu ajabu,mkali sanaa,matusi mengiii,mwingine hata kukupiga anaweza kukupiga
Kama nguvu zake ziko sawa basi huyo mtu ana mwanamke mwingine!!mimi nilipitia situation kama yako!tena hivyohivyo kabisa!ni amini mimi jamaa ana MTU WAKE!wanaume wengine hawawezi kubalance upendo hivyo anaegemea sana kwa mchepuko kuliko kwako!
Kama amekuchoka kweli basi hakuna namna yeyote ile unaweza kufanya ili akupende tena!yaani wanaume wakikuchoka wanakua hivyo!Kuna njia 2 za kufanya nazi ni hizi;
1.Kama munayo ndoa ya kanisani basi na munaowatoto kama ulivyosema basi wewe anza kuhangaika na watoto wako!una degree moja (kama nimekuelewa vizuri)toka ndani nenda katafute ajira hata kwenye viwanda,makampuni na mashirika binafsi,usichoke utapata tu nakuombea!
2.Acha kabisa kumfata fata!Mahaba ni Intimacy lakini Intimacy hiyohiyo inageuka kero pindi mapenzi yanapokufa,Nakuelewa!Najua ni ngumu sana kuacha kumfatilia au kujipendekeza kwa mumeo hasa kama unampenda sana!ila jitahidi hivyohivyo kidogokidogo utaweza
3.Usitegemee yeye kubadilika,wewe ndie ubadilike!
Amua kuchagua furaha,hata kama kwasasa huna hela ya kujiremba ila nina Imani unazo nguo nzuri kabatini,Oga vizuri na Ubane/Chana nywele zako vizuri..Hakuna Tiba kubwa zaidi ya Tabasamu!!Mylove Tabasamu!!ni ngumu kutabasamu ikiwa moyo unavuja damu ila jitahidi tu!![emoji30]Usionyeshe unyonge ukiwa nae,Acha kulalamika.
4.Jenga imani kwamba huyo sio wako tena!kubali kuachika!Ona kama jamaa anakusaidia tu wewe na watoto wako kwa muda mfupi kabla hujaachwa Officialy!!ukijijengea dhana hii itakua msaada mkubwa kwako wa kumove On haraka na kupooza moyo wako!
5.Mwisho!usimuache mungu,Omba mungu akupe moyo wa kuishi bila yeye na sio mungu ambadilishe yeye!
Natamani ningekuwa karibu na wewe tukashare maumivu na uzoefu maana njia yetu moja!
Pole sana[emoji2]
Pole dearMume wangu aliponichoka.
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Mimi sijawahi kumsaidia Mke wangu kubadiri uelekeo wa Kitanda.Mume wangu aliponichoka.
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Njoo nikutoe dukuduku 🙂Mume wangu aliponichoka.

Ndio hapo kakuchoka kweli japo sio kwamba hakupendi,sasa njoo dm nikufundishe ninwapi unakosea ili mrudi kama ilivyokuwa zamaniMume wangu aliponichoka.
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Embu picha yako kwanza 😂😂😂😂Am really serious...
Dah dunia bhana!Mume wangu aliponichoka.