Wanawake mnawekeza sana kwenye mapenz kuliko kutafta maisha na pesa.Mume wangu aliponichoka.
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauliv naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli. Stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe ni wale wanawake wasioridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Sasa unakonda kwa ujinga[emoji16]
Halaf mnataka muwe viongoz wakuu... Mtabak kuwa viongoz wa mazabe hvyo hvyo.. had itokee bahat mbaya
Sabab hamjiamini.
Jarib kumu ignore na kuanza kupendeza uone.. ataanza hisi unataka chepuka.. atarud mwenyew..
Tumia akil mwanamke usiwe kama boya.