Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Kama uliacha kazi baada ya kuolewa hiyo ni technical error. Fanya namna upate kazi. Mwanamke mwenye kazi/biashara nzuri anapendeza na kuvutia zaidi ya mama wa nyumbani.
 
Hahaha
 
Pole dear
 
Kwa kipindi hichi unachopitia wakati mgumu njoo ujiegeshe kwangu kwa muda
 
Mkiwa na mimba mnazinguaga sn nyie, mnatutenga, mnatutamkia lugha chafu, mara ohh sitaki kukuona, unanuka, sijiskii kuongea na wewe na viburi vya hapa na pale.

Sasa hali hiyo hupelekea taratiibuuu na sisi kujiweka mbali na ninyi kama kuchelewa kurudi nyumbani, kuhang around na watu wengine vijiweni na hata kwenye mabaa na hatimae tunaanza mahusiano ya siri huko nje.

Sasa mkisha recover na kurudi kwenye hali zenu ndio mnajifanya mnarudisha mapenzi na kusahau kwamba mlishachoma mionyo yetu na mapenzi yalishahama.

Sasa mda huo ukija eti ohh baby ninyonye mbususu mtu anakuona wa kawaida sn na hata hamu na wewe hana, tena ukizingatia unakuwa umeshajifungua structure ya mwili imebadilika na kupoteza mvuto basi arghhh inauzi kwakweli.

Kwahiyo muwe waungwana mnapokuwa mmebeba mimba la sivyo malalamiko hayataisha na kusingizia waume zenu.
 
Mimi sijawahi kumsaidia Mke wangu kubadiri uelekeo wa Kitanda.
Na hajawahi hata siku moja kuniomba nimsaidie kubadiri uelekeo wa kitanda.
Ila kila baada ya Muda flani ntakuta yeye mwenyewe kabadiri ueleo wa kitanda, na halalamiki....! Mm Huwa nakuta tu mazingira yamebadirika.
 
Njoo nikutoe dukuduku πŸ™‚
 
Ndio hapo kakuchoka kweli japo sio kwamba hakupendi,sasa njoo dm nikufundishe ninwapi unakosea ili mrudi kama ilivyokuwa zamani
 
Hahahahaha leo asubuhi nikaenda kununua chapati sehemu furani hivi,nakuta muuzaji ana mgeni hapo,anaambiwa eti kwenye ugomvi,limwanaume linene sukuma hata libamize kichwa chini,yale hayanaga nguvu. Kwamba akiwa mwembamba,gombana nae kwa akili,na ikiwezekana kama unataka kumdhulu,mvizie akiwa usingizini.
Sasa,unajiuliza,wanawake wa siku hizi, makatili,af wanataka wanaume wastaarabu. Jamani, Mungu wenu si anawapa wa kufanana nae? Sema tu mkizidiwa ujanja na uhuni,mnaanza kulalamika. Kwanza ana huruma kam bado mnalala chumba kimoja. Wengine hula kwa mama ntilie au kwa michepuko,nguo zinafuliwa huko huko,unapika unakula,shida nini! Hapo labda kama hakujali(kununua vyakula na kuweka ndani),siyo kukupa hela. Tena natuma housegirl/boy sokoni,ananunua vitu vya wiki kabisa. Kasoro karoti na mchicha. Ambavyo pia kama kuna fridge,analeta anaweka. Kama hayupo,nakuletea mwenyewe. Ukichoka, sepa. Nenda kwa hao hao wanaoshika sehemu unayoipenda.
Tatizo siku hizi wanawake wametekenywa na wanaume wengi. Hivyo hata ukiolewa,unaanza kulinganisha ufanisi wa wengi.
 
Dah dunia bhana!
Mwambie mumeo tubadilishane aje achukue Hili tipwatipwa, we uhamie kwangu.
 
Dah dunia bhana!
Mwambie mumeo tubadilishane aje achukue Hili tipwatipwa, we uhamie kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…