Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Fanya haya:-
  • Piga mswaki vizuri kila unapotaka kukutana naye kwa tendo
  • Oga mara kwa mara
  • Paka lotion ya cocoa, au inayonukia vizuri
  • Tengeneza nywele zako vizuri
  • Hakikisha mwili wako unanukia vizuri, na si jasho
  • Vaa vimini, nguo fupi za kumshawishi
  • Vaa bikini
  • Vaa nguo ya kulalia inayomshawishi
  • Weka mapozi ya kumchanganya ndani, ya mitego mitego n.k (swaga za mwanamke)
 

Hivi unaijua shuntama? Hapo mpk dawa ziishe ndo ataona hizo tips unazomjaza mwenzio

Lile somo la shanga ndo linafanyiwa kazi nje kwa mume wa mleta uzi
 
Ieleweke tu wewe ulishajichoka kabla ya kuchokwa,
Hatujasikia side B but you're not an angel,
Ambapo hufanyi vizuri badilika kinyume na hapo uiache hiyo ndoa Kwa afya Yako ya mwili na akili.
Mpaka inafikia hatua unaitwa mbwa🙆
 
Hii ifanyiwe lamination na kutengenezewa frame na kutundikwa bedroom!!! Hii ni zaidi ya kitchebn party!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…