Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Fanya haya:-
  • Piga mswaki vizuri kila unapotaka kukutana naye kwa tendo
  • Oga mara kwa mara
  • Paka lotion ya cocoa, au inayonukia vizuri
  • Tengeneza nywele zako vizuri
  • Hakikisha mwili wako unanukia vizuri, na si jasho
  • Vaa vimini, nguo fupi za kumshawishi
  • Vaa bikini
  • Vaa nguo ya kulalia inayomshawishi
  • Weka mapozi ya kumchanganya ndani, ya mitego mitego n.k (swaga za mwanamke)
 
Fanya haya:-
  • Piga mswaki vizuri kila unapotaka kukutana naye kwa tendo
  • Oga mara kwa mara
  • Paka lotion ya cocoa, au inayonukia vizuri
  • Tengeneza nywele zako vizuri
  • Hakikisha mwili wako unanukia vizuri, na si jasho
  • Vaa vimini, nguo fupi za kumshawishi
  • Vaa bikini
  • Vaa nguo ya kulalia inayomshawishi
  • Weka mapozi ya kumchanganya ndani, ya mitego mitego n.k (swaga za mwanamke)

Hivi unaijua shuntama? Hapo mpk dawa ziishe ndo ataona hizo tips unazomjaza mwenzio

Lile somo la shanga ndo linafanyiwa kazi nje kwa mume wa mleta uzi
 
Ieleweke tu wewe ulishajichoka kabla ya kuchokwa,
Hatujasikia side B but you're not an angel,
Ambapo hufanyi vizuri badilika kinyume na hapo uiache hiyo ndoa Kwa afya Yako ya mwili na akili.
Mpaka inafikia hatua unaitwa mbwa🙆
 
Sikia nikwambie, hakuna binadam mzuri kama mke na hakuna binadam mbaya kama mke. Najua hujanielewa.
Mume ndo anayekuona ukiwa huna mekup ukiwa mchafu and unategemea awe sawa na anayekuona umejikwatua unaenda sokoni. Wanawake mkiwa nyumbani mnajiachia sana. Kuwa msafi masaa yote nukia masaa yotez mtege mumeo masaa yote. And usisahau masaa akikaribia kurudi jiandae kwa ajili ya mess ya 6x6
Hii ifanyiwe lamination na kutengenezewa frame na kutundikwa bedroom!!! Hii ni zaidi ya kitchebn party!!
 
Back
Top Bottom