Nahisi mume wangu kanichoka kabisa


Wewe ni mama D mbona kama nakujuaa na hii story yakoo
 

Mmh wewe mama D Mungu anakuonaa
 
Bwana equinox [emoji4] thank you..Ila ukweli Ni kwamba..Mimi Ni msafi kuliko kawaida....halafu vyote hivyo sio vipya nipo ivyo tangu ananitongoza mpaka Sasa tuna watoto wawili...nikimtega yes anategeka Ila ananifanya kwa faida yake[emoji24] akishakojoa huyoooo kuchat Facebook
 
Katiba mpya italeta suluhisho, don't worry
 
Hadi anajibu ukimuuliza?Mnapendana ninyi.Ni vitu vidogovidogo tu hamjaviweka sawa.
 
Sasa mbona unacheka?Unafurahia unachopitia?
Huyu mi naona anawaenjoy tu maana kila ushauri anaopewa yeye yuko -ve nao na yuko very happy. Anapitia magumu lakini hapo hapo anakwambia yeye ni msiri wala hawezi kuwashirikisha wengine hata ndugu wa mumewe au mama mtu mzima kanisani kwake. Sasa sijui nini maana ya kuomba ushauri🤔
Basi ayavumilie tu hayo yanayomtokea seems like she's ready to face the situation alone and JF is the place of seeking attention and cherishing her period....🙌
 
Kosa langu Ni kumghasi[emoji1787] kila Sasa nalialia,baba sweetie I miss you..baba sweetie kwanini hunipend..baba sweetie...waiiii ndo anaongeza mabalaaa..eti we bila Mimi huez kuishi?[emoji1787][emoji1787]
Hiyo ndio mbaya sasa. Give him a room, wanaume kuna wakati wanakuwa kama mapepo😂
 
Hebu njoo PM tuondoane stress mkuu. Huyo mwanaume hajui thamani yako
 
Pole sana mkuu, tenga muda kuiombea familia yako kila siku mana ndoa zinashambuliwa na mengi... na jipe u bize punguza kumpgia simu akitoka au story nyingi akirud ila timiza majukumu yote kikamilifu. Pambana na hiyo vita kisaikolojia.. mwanamke ana akili sana, itumie. Anza na kutolalamika ata afanye nn hiyo itamsanua kidogo.
 
Maskini😔😔😔bado unafanya nini apo dear? Naomba rudi kwenu haraka😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…