Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Mume wangu aliponichoka...

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]

Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
love story au
 
Back
Top Bottom