Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Acha kutia chumvi basi...ye anampenda!Kwa ndoa yake ilipofikia hata apige goti vipi hatoboi aje tulewe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutia chumvi basi...ye anampenda!Kwa ndoa yake ilipofikia hata apige goti vipi hatoboi aje tulewe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unampenda kweli? Usije ukawa unaogopa kuachwa sababu unamtegemea kuishiLove dear... kweli nampenda.
Kwa kweli Hilo ni jambo la mwisho kabisa naweza lileta hapa.😂 😂 ndio usithubutu bora ufe nayo
Pole sana aisee!Mume wangu aliponichoka...
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Acha kutia chumvi basi...ye anampenda!
Kuna mahali ulikosea, au kwa kujua au kutojua, mimi ni mwanaume, kwa majibu hayo sio kakuchoka ila anakuchukia, inawezekana anahisi au ana uhakika huna uaminifu ndani ya ndoa, hilo ndio kubwa kwa kuleta chuki kwa wanaumeMume wangu aliponichoka...
Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]
Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"
Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"
Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.
Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]
Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa
Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.
Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]
Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
vizuri sana nitajifunza kwako Dada mkubwaKwa kweli Hilo ni jambo la mwisho kabisa naweza lileta hapa.
Naona ibilisi wa zamu anakutumia dogo,vunga basi😁😁Anapenda asipopendwa?? Kuja kutulia huyo mpk alete UTI sugu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aje tulewe mwambie
Uwe imara daima.vizuri sana nitajifunza kwako Dada mkubwa
kama amemchoka atuachie sisi, alafu sijui ni kwanini napenda sana wanawake walioumizwa😂Kwa ndoa yake ilipofikia hata apige goti vipi hatoboi aje tulewe tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona ibilisi wa zamu anakutumia dogo,vunga basi[emoji16][emoji16]
kama amemchoka atuachie sisi, alafu sijui ni kwanini napenda sana wanawake walioumizwa[emoji23]
mufilisiii 😂 😂Wewe si fisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mufilisiii [emoji23] [emoji23]
mimi ndio pain killer, healer
ndio upendo huo kuwajali wenye maumivu 😂[emoji23][emoji23][emoji23] unapenda loose ball
ndio upendo huo kuwajali wenye maumivu [emoji23]
ndio huyo mimi 😂Mfariji wa wanyonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa haijafika ya U fresh
ndio huyo mimi [emoji23]
unajua ni kwanini haijafika