Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Mume wangu aliponichoka...

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]

Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Pole sana aisee!
Sisi tuliopo kwenye hii taasisi inayoitwa ndoa au mahusiano sirious tunakutana na hii hali sana, kuchokana na kukinaiana.
Tunashauriwa sana tunapojenga mahusiano na tuyajenge katika misingi ya urafiki,undugu, na uhusiano.
Kwamba mpenzi wako amekuchika katika engo ya mapenzi basi undugu mlioujenga unashika nafasi, mnakua kama kaka na dada.
Mkichokana na hapo pia urafiki unashika nafasi yake, ikitoka hapo mapenzi yanarudi kwenye nafasi yake.

Mleta mada ikiwa wewe ni mwanamke una uwezo mkubwa sana wa kurudisha uhusiano wako na mwezi wako kwa sababu njia nyingi zipo upande wenu wanawake tofauti na sisi, nyie mna nyezo na zana nyingi na zisizo tumia nguvu .
Sisi wanaume kwa mwanamke ni wadhaifu mno.

Jaribu kutumia njia za kike kumrudisha himayani mtu wako.
 
Mume wangu aliponichoka...

Nikimkumbatia anasema nampotezea mda[emoji4]

Nikimsemesha anasema "aaarghhh usinichoshe"

Kukiwa na jambo la kujadili anasema 'unanipigia keleleee"

Nikimuomba anisaidie kitu. Mfano nahitaji nibadilishe uelekeo wa kitanda, anasema kila kitu usaidiwe tu.

Tukipishana kauli... Naambiwa "we ni mbwa"[emoji17]

Kwenye tendo sasa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] anataka afanye anavyopenda. Ukiomba ushikwe sehem anasema nimechoka[emoji1787][emoji1787] huyooo anasepa

Sasa nimekonda kweeli...stress na shida, ananiambia Unakonda sababu ya roho isioridhika[emoji17][emoji17]wewe Ni wale wanawake wasikridhikaaa.

Namwambia nifanyeje unipende? Kasema labda ule unenepe univutie upya[emoji1787] mi mwenyewe napenda vitu vizuri[emoji4]

Najua kabisa amenichoka, hanipendi tena [emoji4][emoji4][emoji4]
Kuna mahali ulikosea, au kwa kujua au kutojua, mimi ni mwanaume, kwa majibu hayo sio kakuchoka ila anakuchukia, inawezekana anahisi au ana uhakika huna uaminifu ndani ya ndoa, hilo ndio kubwa kwa kuleta chuki kwa wanaume
 
Sikia nikwambie, hakuna binadam mzuri kama mke na hakuna binadam mbaya kama mke. Najua hujanielewa.
Mume ndo anayekuona ukiwa huna mekup ukiwa mchafu and unategemea awe sawa na anayekuona umejikwatua unaenda sokoni. Wanawake mkiwa nyumbani mnajiachia sana. Kuwa msafi masaa yote nukia masaa yotez mtege mumeo masaa yote. And usisahau masaa akikaribia kurudi jiandae kwa ajili ya mess ya 6x6
 
Naona ibilisi wa zamu anakutumia dogo,vunga basi[emoji16][emoji16]

Basi dada naacha mwambie akupe jina la shem nafunga novena kwaajiri ya ndoa yake

Baba nakuja mbele zako naachilia upendo katika hii ndoa iliyosambaratika km glass iliyovunjika hata isiweze kurudi tenaaa, ukawapatanishe wakagandane km sumaku na chuma, wakaurudishe ule upendo wao wa zamani na asitokee kizabi zabina wa kujifanya anaweza kuruka mijudo kwenye kirungu cha mumewe na huyo mwanaume asione ladha yoyote kwa huyo muharibu ndoa za watu hata aoshee karafuu iko kiungo chake korofi………

Maombi yataendelea kwa kutuma sadaka kwa mama mchungaji piem [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom