Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Huu ushauri HAPANA!Barua tuu haitoshi.. Labda umruhusu tena mwanao kukutana kimwili na huyo msela then akimaliza asioge ili ushahidi uwepo then akirudi tu mchukue mpaka polisi kisha hospitali. Iwe ndani ya Massa 12 hapo utamnasa.
Unaweza kutumika,ila mtoto kama anampenda jamaa usishangae kesi ikifika mahakaman anamtetea jamaa,maana maelezo ya mtoto ndo ya kumtia hatian 'MTUMISHI WA UMMA'hivi ushahidi wa kimazingira kama sehemu wanakutana au pesa anazompa hauwezi kutumika?
Ndio inajulikana piaHivi jamaa akitumia ndom hospitali wanaweza kujua kama aliingiliwa kimwili.
Form I ameshaanza kukwanguliwa.... Nahisi hata malezi yako yana walakini.
Jitathmin kabla hujamshtaki... Huyo mwanao kaanza mapema utashtaki wengi.
hapo dawa ni kwenda kwa bosi wa jamaa kushitaki na kumwambia akome. hata akikana ujumbe utafika. au kama jamaa mbabe amuibukie jamaa na panga au gun na kupiga mkwara mzito. mtu unaanzje kutembea na form one wa 15yrs. hiyo ni stutory rape.Unaweza kutumika,ila mtoto kama anampenda jamaa usishangae kesi ikifika mahakaman anamtetea jamaa,maana maelezo ya mtoto ndo ya kumtia hatian 'MTUMISHI WA UMMA'
Me niliwah shuhudia kesi ya namna hiyo,bint amelala kwa jamaa,akaja akakamatwa kwa jamaa,shuleni amekiri kuwa ni jamaa yake akanieleza jinsi alivyomkaza usiku huo,ila Polisi akamtetea jamaa,mzaz anamlazimisha amdidimize jamaa,bint anamtetea jamaa kwakua anampenda,kesi ikafa kifo cha mende
Tatizo unalo wewe mkuu, mpk umri wa form 1 ina maana primary yote umekua nae (kama hakua boarding school). Cha kufanya kwanza angalia urekrbishe ili km kuna wadogo zake wasiingie huko tena km dada yao. Hii inahusisha kumfunza A to Z madhara ya ngono. Au peleka girls school km St Francis Mbeya unakua na guarantee ya ulinz wa mtoto.
At this stage kuanza kumfuatilia huyo 'mbakaji' noo, ila km unajua una mkwara mzito do it ila c kisheria. Umshtak kwa kosa gani sasa? Kwani bibtio kalazmishwa? We chukua bastola km unayo, panga au vyovyote umpige mkwara jamaa usolve kimtaa mtaa tu.
Akijua uko very serious ataacha tu mwenyewe, pole sana mzee
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza mwanangu yuko kidato cha kwanza sasa. Nilihisi ana mahusiano na jamaa mmoja mfanyakazi wa umma na nilifanya mawasiliano na mwalimu wa malezi ili amuulize vyema binti yangu kama kweli ana uhusiano.
Baada ya kubanwa na mwalimu alikiri na kuandika barua ya maelezo kukiri jambo hili. Nimeumia sana kusikia jamaa anamchukua mwanangu.
Swali langu ni je, naweza kumshtaki jamaa kazini kwake au mahakamani na nikashinda kesi? Maana mtoto hana ujauzito.
Msaada wa kisheria please.