Ushahidi pekee wa kubaka ni vipimo vya hospitali. Je bikira imevunjwa, je amepata michubuko, je kuna manii, je tundu limeongezeka. Lakini je hayo manii ni ya mtuhumiwa, je bikira ilitoka lini ( je mtuhumiwa ni muhusika), je bint ana maadili, je anamahusiano na wanaume wangapi( hata kama mwanaume ni mvulana wa miaka 16 ni mwanaume huyo), kama alikuwa na wanaume wengi, je ni yupi aliyembaka. USHAHIDI wa kwamba umemkuta naye labda anaangalia tv kwake sio ushahidi usio na shaka, ushahidi kwamba anampa hela, hela haziwezi kubaka, ushahidi kuwa umekuta meseji kwenye simu ya bint, meseji hazibaki, ushahidi kwamba umewakuta wameshikana mkono, wamekumbatiana, wanabusiana ni za mashaka, picha, video kwamba umewafumania wakiwa utupu zinaweza kusaidia lakini hazithibitishi kuwa wametenda, video, picha ambayo wanazini itasaidia kuthibitisha...Kumbuka kwamba sheria ya makosa ya jinai tanzania ni sheria ya ushahidi....kabla ya kukurupuka kwenda polisi lazima upange na kupangua ushahidi, vinginevyo utajiingiza katika mgogoro mpya na jirani yako. Dont trust bint anakuambia nini....mabint wengi wakibanwa wanaweza kusema chochote hata kama si cha kweli.Mifano ipo mingi....