Nahisi mwanangu ana mahusiano na mtumishi wa umma

Nahisi mwanangu ana mahusiano na mtumishi wa umma

Uswahilini ungeenda na matarumbeta ukamaliza ila sasa hapa mfuate umwelezena huyo binti yako shughulika naye.
Unanikumbusha mama angu alikuwa akisema akijua kuna mtu mzima anatoka na mwanae lazima ashughulike naye.
 
Katika maelezo yako umenichefua.. inakuwaje umuachie mzigo wa kumuuliza mwalimu wake!!!!!
kwa namna fulani kuna mapungufu ya kimalezi apo
 
Inaelekea huna muda kabisa na mwanano hadi anaanza mpaenzi umri mdogo sana... Embu taja umri wake.. usikute ana 18...
 
Barua tuu haitoshi.. Labda umruhusu tena mwanao kukutana kimwili na huyo msela then akimaliza asioge ili ushahidi uwepo then akirudi tu mchukue mpaka polisi kisha hospitali. Iwe ndani ya Massa 12 hapo utamnasa.
Mkuu kutokana maelezo, walikuwa wanatumia kinga ndy maana student hana Mimba..
Sasa mzazi wa binti atakubali kweli huo ushauri mwanae acheze kiwanjani bila mhusika kuvaa adidas!!!
Muhimu ni mzazi au kumtumia third party kumfuata mhusika na kumweleza ukwel anachokifanya ni kosa.. Ache mpk binti amalize school.
Ni imani ataacha.
 
Mchawi.png
 
Mkuu pole sana kwa usumbufu wa malezi ya siku siku hizi.

Kama mwanaume mwenzako ningefanya juu chini nimpate mhusika. Face to face nimweleze ninajua A to Z na ninaomba aachane na binti yako. Nisingependa anipe story wala nini. Kufanya hivyo kunamweka kwenye suspence. Ila uwe na uhakika kama mwalimu alimuuliza binti basi ujue labda tayari jamaa ana habari.

Utapofanya haya yafanye mchana kweupe usije ukasingiziwa mwizi au jambazi. Tafuta sehemu nzuri toa short message na utembee zako.
 
kutembea na mtoto under 18 yrs ni kubaka so km utashnda kesi jamaa atafungwa 30 yrs,sasa tujiulize mtoto mpk aje ahitimu form four utafunga wangapi? ongea na mwanao mshahur vizur kuhusu hizo mambo vinginevyo tutaishia kulaumu na kushitaki watu wengne kwa akili mbovu za na malez mabovu ya watoto wetu...simtetei mkosaji lakin kwa mtoto wa form one kuwa na relation lazima mzazi ujiulize??????
 
pole sana, kama mzazi sikulaumu sana maana kwa dunia ya sasa unaeza ukawa mzazi bora lakini mtoto akawa asikii kwa lolote, mwisho ulaumiwe wewe. ushauri wangu mtafute huyo mtu ongea nae kuwa upendi na utaki awe na mahusiano na mwanao , halafu ongea na binti yako umuelezee jinsi ulivyoumia na ni kiai gani unampenda, pili jitaidi kuprovide kila kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako ili kupunguza tamaa huko anakopita.
tatu, mshirikishe mungu sana kwenye malezi ya watoto, ili wakue wakiwa na hofu ya mungu.
 
Inawezekana akawa form one lkn akawa above 18 maana yawezekana akawa anasoma elimu ya secondary ya miaka 2 yan QT
 
pole sana, kama mzazi sikulaumu sana maana kwa dunia ya sasa unaeza ukawa mzazi bora lakini mtoto akawa asikii kwa lolote, mwisho ulaumiwe wewe. ushauri wangu mtafute huyo mtu ongea nae kuwa upendi na utaki awe na mahusiano na mwanao , halafu ongea na binti yako umuelezee jinsi ulivyoumia na ni kiai gani unampenda, pili jitaidi kuprovide kila kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako ili kupunguza tamaa huko anakopita.
tatu, mshirikishe mungu sana kwenye malezi ya watoto, ili wakue wakiwa na hofu ya mungu.
mkuu umeshauri vizuri...ila jua kuwa huyu binti kuna kitu chenye utamu wa ajabu sana keshaonjeshwa na ameshakizoea,yaani namaanisha dyudyu...anaweza akampa pesa na kila kitu ila binti atapomiss tu kugotwa,bc lazima achomoke hasa kwa umri alio nao ndo kabisaaaa damu inatokota na ndo raha anazifeel ile ile,yani akiguswa tu km anapigwa vishoti ivi mwilini.
Hatari sana Mkuu!
 
ndo maana nikashauri, amuachie mungu kwenye malezi maana ndo kila kitu.
 
mimi naona mnajisumbua bure. Hayo mambo sio mepesi kihivyo achaneni nayo. Wewe muonye tu lakini mbuzi akishalamba magadi haachi
 
Barua tuu haitoshi.. Labda umruhusu tena mwanao kukutana kimwili na huyo msela then akimaliza asioge ili ushahidi uwepo then akirudi tu mchukue mpaka polisi kisha hospitali. Iwe ndani ya Massa 12 hapo utamnasa.
Huu mkakati ni mzuri kama unaye dili naye ni tycoon MWENYe hela zake. Manake akitaka kukulipa fidia, angalau kidogo itapooza machungu. ...
Kama anataka kumwaibisha binti yake bila tija yoyote Inafaa amruhusu akabanduliwe...kisha akashtaki. Lakini binti ndo atakua kafungulia umalaya wazi wazi. Maumivu ya hisia kwa umri wake yanaweza pelekea akakata shauri na kuendelea kubanjuka na shule akapiga chini.
Binti bado ni tender asimkomaze ubongo ghafla.. A play kama mzazi kwa mtoto.
 
Back
Top Bottom