Nahisi mwanangu ana mahusiano na mtumishi wa umma

TokaMsoga ..Mzazi ndo mwenye uchungu na mwanae!! Pole sana na Kupongeza kutafuta ushauri..ila Bora UmFace huyo Najisi /Mcharibifu wa binti yako !! Tena mseme mbele ya halaiki(kinamunasi) Ulazimishe aache mahusiano... au peleka mashitaka ustawi wa jamii na kwa wahusika!!
Kakamaa mama uwe mbogo hata kiusanii...!!
Kila la heri na mwanao aookoke apone ktk masaibu haya!!
 
Kes kama hiz mm namalizana na bint yangu kila nikisikia, nkiona, nkihis, nkiambia, nkigungua na mpunguza kiungo kimoja kimoja hadinaandika hapa mwanangu hana masikio yote nikisikia tena natoa pua ili wampende vizur na kama wanampenda watamlinda asikatwe viungo and she nkows
 
Nikweli ndugu nimegundua kitu kimoja watu wengi hawaelewi namna yakufungua na mwenendo wa Kesi za jinai...ndio maana wengi wanashindwa Mahakamani kuna kesi zingine watu wawe wanatafuta wanasheria kabla yakufungua kesi itawasaidia kujua nikesi ya namna gani umfungulie MTU na kama utaambiwa ushahidi hautoshelezi kumpeleka MTU Mahakamani kubali matokeo vinginevyo utajitia matatani manake jamaa ukishamtaabisha Mahakamani ukashindwa kuthibitisha kosa anaweza kukugeuzia kibao ukajuta
 
Sikiliza baba usikurupuke, huyo ni mwanao unamjua vyema, angalia tabia yake hasa anapokuwa likizo ndo utajua uanzie wapi. Mwaka jana mwanafunz wa form one alimganda mme wangu, siku moja nipo nyumbani nilipokea meseji ya kimapenzi ya huyo form one kupitia simu ya mme wangu, one thing nilitaka namba na jina la mtoto na picha, vyote nilipata. Nilimpigia huyo kinda nkamsema kweli, nilitaka nimfate huko shule nimpe kisago cha nguvu ila for the sake of baba wa watoto wangu nkaacha. Ukweli ni kwamba wazazi mmejisahau sana, watoto wenu wamrharibika mno, hamna mda nao. Jitahidi kuangalia mwanao kajikwaa wapi na si alipoangukia
 
Obvious, form 1 atakua under 18yrs...
Ivi si kunasheria ya mtu kumpa mimba mwanafunzi ni ambapo 30yrs in prison? fuatilia hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…