Fufua Tumaini Jipya
JF-Expert Member
- Dec 11, 2024
- 223
- 469
Maamuzi uliyochukua ni sahihi 💯Wakuu habari.
Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina .
Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa
-hapendi mafanikio yako
-ukimwambia jambo lako
halifanikiwi hata iweje
-Ana chuki , anamchukia kila mtu
-Hana Shukran
Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba
Hii hali imedumu muda mrefu
Kuhusu yeye
-sio mtu wa dini
-hasali
-ni mtu wa kuchoma choma dawa
So maamuzi nilioamua kufanya ni kukaa nae mbali Sana na kuzima location (GPS)
ni mshirikina ndio, hayo maamuzi ni sahihiWakuu habari.
Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina .
Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa
-hapendi mafanikio yako
-ukimwambia jambo lako
halifanikiwi hata iweje
-Ana chuki , anamchukia kila mtu
-Hana Shukran
Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba
Hii hali imedumu muda mrefu
Kuhusu yeye
-sio mtu wa dini
-hasali
-ni mtu wa kuchoma choma dawa
So maamuzi nilioamua kufanya ni kukaa nae mbali Sana na kuzima location (GPS)
Nani kama Mama
Hakuna kama Mama
Mama ni Mama hata kama Mchawi,
Mwizi,Malaya ,Kichaa,nk..
Usiingilie wala kutaka kujua kwanin ana chuki na baba yako..wanawake tunaweka sana vitu rohoni..hatvitoki kirahisi..
Mpende.
Msisitize asali kwa faida yake na ustawi wafamilia💕
Mbona wengi sana hatuna uchawi ma wala hatuna utajiri. Mbona mnawaandama wakinga eti utajiri wao ni wa ndumba. Kwa hio ndumba inaweza kukupa utajiri. labda wenye hizo dawa ni wachache.Uchawi na ushirikina ni chanzo kikuu cha umasikini uliotopea Afrika
Wanaweke zaidi ya 90% wana amini ushirikina na wanaufanya, kuchukia Ex wake au mme wake au watoto wa mme wake hiyo ni sehemu ya maisha ya wanawake karibia wote hata bila sababu za msingi, usimtenge mama ako we kijana hawezi kupata mgine.Wakuu habari.
Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina .
Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa
-hapendi mafanikio yako
-ukimwambia jambo lako
halifanikiwi hata iweje
-Ana chuki , anamchukia kila mtu
-Hana Shukran
Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba
Hii hali imedumu muda mrefu
Kuhusu yeye
-sio mtu wa dini
-hasali
-ni mtu wa kuchoma choma dawa
So maamuzi nilioamua kufanya ni kukaa nae mbali Sana na kuzima location (GPS)
Ooooya ogopa sana ogopa kabisa yaan ogopa ogopa ogopa omba sana yasikukute, km umepata mama mzuri hakusumbui na hakufanyii figisu za kukutia nuksi na mikosi basi mshukuru sana MunguNani kama Mama
Hakuna kama Mama
Mama ni Mama hata kama Mchawi,
Mwizi,Malaya ,Kichaa,nk..
Usiingilie wala kutaka kujua kwanin ana chuki na baba yako..wanawake tunaweka sana vitu rohoni..hatvitoki kirahisi..
Mpende.
Msisitize asali kwa faida yake na ustawi wafamilia💕
Shetani Ni Nani??Hakuna cha Nani kama Mama wala nini.
Huwezi mpenda mchawi kama wewe sio mchawi hata kama ni Mamaako.
Nafikiri hujui Wachawi ni watu wa aina gani.
Wachawi ni version ya shetani.
Kama Kweli ni mchawi kijana akae Mbali na huyo Mama.
Shetani Ni Nani??
Wanawake ni wachawi sana acha kabisa yaan acha kabisa wanawake wanaroga mbaya, ila mimi nina Mungu wamenishindwa kila wakijitahidi kuroga wapi hakuna kituWanaweke zaidi ya 90% wana amini ushirikina na wanaufanya, kuchukia Ex wake au mme wake au watoto wa mme wake hiyo ni sehemu ya maisha ya wanawake karibia wote hata bila sababu za msingi, usimtenge mama ako we kijana hawezi kupata mgine.
Point yangu ilikua hivi ..hakuna mbadala wa MamaWanaweke zaidi ya 90% wana amini ushirikina na wanaufanya, kuchukia Ex wake au mme wake au watoto wa mme wake hiyo ni sehemu ya maisha ya wanawake karibia wote hata bila sababu za msingi, usimtenge mama ako we kijana hawezi kupata mgine.
Kwamba mama yako anakuroga usfanikiwe😛.okay sikua najua hili..msamiati mpya..semeni wamama wa Kiafrica wanapenda sana kutoa maneno yalaana akiona humjali wala kumheshimu .na maneno HUUMBAWanawake ni wachawi sana acha kabisa yaan acha kabisa wanawake wanaroga mbaya, ila mimi nina Mungu wamenishindwa kila wakijitahidi kuroga wapi hakuna kitu
Hakuna mbadala wa mamaHakuna cha Nani kama Mama wala nini.
Huwezi mpenda mchawi kama wewe sio mchawi hata kama ni Mamaako.
Nafikiri hujui Wachawi ni watu wa aina gani.
Wachawi ni version ya shetani.
Kama Kweli ni mchawi kijana akae Mbali na huyo Mama.