Nahisi mzazi wangu anafanya ushirikina

Nahisi mzazi wangu anafanya ushirikina

Waweza kuta mama ni schizophrenic ila mnaulaumu uchawi.

Kama una uwezo wa kipesa wahamishe wanapoishi sasa hivi
 
Wakuu habari.

Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina .

Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa

-hapendi mafanikio yako

-ukimwambia jambo lako
halifanikiwi hata iweje

-Ana chuki , anamchukia kila mtu

-Hana Shukran


Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba

Hii hali imedumu muda mrefu

Kuhusu yeye

-sio mtu wa dini
-hasali
-ni mtu wa kuchoma choma dawa

So maamuzi nilioamua kufanya ni kukaa nae mbali Sana na kuzima location (GPS)
.sio mtu wa dini
.hasali
.ni mtu wa kuchoma dawa.

Haya endeleeni kuamini huo ujinga unaoitwa dini
 
Back
Top Bottom