Mkuu unafikiri wenyewe hawana Mungu yao jambo muhimu nikutokua na Imani na vyo na kutovifanya kabisa, uchawi hufuata yule anae ufanya na kuamini.Wanawake ni wachawi sana acha kabisa yaan acha kabisa wanawake wanaroga mbaya, ila mimi nina Mungu wamenishindwa kila wakijitahidi kuroga wapi hakuna kitu
Wanawake mnaroga sana yaan kitu kidogo tu mshawahi kwenda kufanya jambo lenu mnaroga asubuhi mnaroga mchana mnaroga usiku yaan hampumziki, umempenda mwanaume unaroga umechukia mtu unaroga power pekee mliyona ni kuroga uwezo wa kurusha ngumi hamna mnasema basi nitamkomesha naenda kumroga, kingine mnaroga kwa kutumia mdomo kuongea maneno maovu maneno machafu kuchafua chafua mtu kwa kumsema ovyo huo pia ni uchawi mnaopenda sana kuutumia wanawake ili kuichafua aura ya mtu kwa hio mnamuongelea mbovu mtu kwa kila mtu ni mwendo wa kumrogezea tu chuki chuki chuki husda kijicho mtu akifanikiwa kidogo tu mnachukia mnaenda kumrogaPoint yangu ilikua hivi ..hakuna mbadala wa Mama
Hakuna mbadala wa mama
Wameejitahidi sana kuroga ila mambo yanagonga mwamba kila wakiroga wapi bado nadunda si unajua wachawi walivyo au haujui wachawi wapoje? Mchawi ni mtu anaefanya mambo negativeMkuu unafikiri wenyewe hawana Mungu yao jambo muhimu nikutokua na Imani na vyo na kutovifanya kabisa, uchawi hufuata yule anae ufanya na kuamini.
Uchawi umeandikwa hata kwenye hivyo vitabu vya dini wewe upo dini gani? Ya mizizi ya Mwembe au?Hakuna uchawi,na wewe sio mtu wa dini,mtu wa dini au anayejiamini hawezi kuamini uchawi.
Na kama umekimbia laana ya mzazi itakupata tu popote ulipo,na kama ni mchawi,uchawi utakupata tu labda ukajifiche kaburini. Rudi nyumbani,yajenge na mama ikiwezekana akufundishe na wewe huo uchawi. Nashukuru sana Nashukuru sana kwa uzi huu.
Unajua je kama yana dunda, au mda ndo bado yaanze kufanya kazi?Wameejitahidi sana kuroga ila mambo yanagonga mwamba kila wakiroga wapi bado nadunda si unajua wachawi walivyo au haujui wachawi wapoje? Mchawi ni mtu anaefanya mambo negative
Ndio kuroga wanaroga wanawake wengi hususani hawa wenye rangi nyeusi ndio wapo front line kupiga urogozeo yaan wanaroga wanaroga wanaroga kisha wanaroga tena, ila km Mungu yupo upande wako hata waroge vipi bado unaishi tu, mwingine ataroga usipate kazi yeye furaha yake ni kukuona huna kazi tu akiona unafanya jitihada zozote ujinyanyue anaenda kuroga tena usifike popote akiona una mafanikio kidogo tu hata km umenunua kitu cha kawaida tu kwa kutumia pesa yako anachukia anaenda kuroga kwanini unafanya maendeleo yeye anataka ubakie kapuku usifanye maendeleo yoyote ukipata kazi anaenda kuroga uachishwe kazi yaan wanawake ni wachawi balaaKwamba mama yako anakuroga usfanikiwe😛.okay sikua najua hili..msamiati mpya..semeni wamama wa Kiafrica wanapenda sana kutoa maneno yalaana akiona humjali wala kumheshimu .na maneno HUUMBA
Mungu yupo upande wangu wachawi wote nikipita wanasonya najua tu yule mwanga kanishindwa yaan karoga mpaka kachoka mimi humu tu nadunda anabakia kutokwa na mimacho tu maana kila akiroga hola kila akiroga hola anaenda tena kuroga wapi anachoamua ni kutumia uchawi wa mdomo karoga huko gizani kashindwa sasa anakuja kuropoka kwa kutumia uchawi wa mdomo anaanza kuongea maneno hasi maneno yote anayoongea ni hasi tupu maneno negative maneno ya kumchafua mtu anamchafua mtu anachafua chafua kisha anachafua tena mwanga mkubwaUnajua je kama yana dunda, au mda ndo bado yaanze kufanya kazi?
dini zenu za upendeleo,kwa nini walisemea kwa mwanamke tu? Hakuna wanaume wachawi, dini hizi zililetwa zikutawale kifikra ili wao wachukue madini kirahsi! ZindukaUchawi umeandikwa hata kwenye hivyo vitabu vya dini wewe upo dini gani? Ya mizizi ya Mwembe au?
Usimuache Mwanamke Mchawi Aishi.
Kutoka 22:18
Aisee je hakuna wamama wanafanya ndumba .?Wapo wamama waliopitia magumu hasa kusomesha litoto lijinga kama wewe ambaye leo unamuita mama yako mchawi.
Baraka zako au laana yako ipo mdomoni mwa mama yako.
Just decide.
Wewe dini gani si umezungumzia dini au dini ya mizimu?dini zenu za upendeleo,kwa nini walisemea kwa mwanamke tu? Hakuna wanaume wachawi, dini hizi zililetwa zikutawale kifikra ili wao wachukue madini kirahsi! Zinduka
Hakuna laana kutoka kwa mama zaidi ya Mama kumroga mtoto ni hivyo tu, unajua wanawake baadhi sio wote wapo na tabia wanataka wasujudiwe na mtoto au watoto wao sasa inapotokea mtoto akagoma kumsujudia ndio hapo sababu hana uwezo wa kumfanya chochote anaenda kumrogaWapo wamama waliopitia magumu hasa kusomesha litoto lijinga kama wewe ambaye leo unamuita mama yako mchawi.
Baraka zako au laana yako ipo mdomoni mwa mama yako.
Just decide.
---Wakuu habari.
Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina .
Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa
-hapendi mafanikio yako
-ukimwambia jambo lako
halifanikiwi hata iweje
-Ana chuki , anamchukia kila mtu
-Hana Shukran
Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba
Hii hali imedumu muda mrefu
Kuhusu yeye
-sio mtu wa dini
-hasali
-ni mtu wa kuchoma choma dawa
So maamuzi nilioamua kufanya ni kukaa nae mbali Sana na kuzima location (GPS)
1 Wakorintho 15:33
"Msiingilie ushirikina na watu wabaya; maana ushirikina na watu wabaya hutumia uzio wa maadili mema."