Nahisi naanza kuchanganyikiwa, wapi nitapata tiba?

I am so scared. I cry almost every night pamoja na uanaume wangu na sijui nafanyeje.
Umeshindwa kuvua hiyo kofia ya degree/diploma
unayopitia ni dhahiri chakukusaidia amua kubadilika amua kujishughulisha na Kazi za mikono Toka kwenye Hayo maisha ya gharama hama ulipo kaanze upya usilinganishe wakati yameshatokea yote usilalame weka Nia Fanya hata vibarua tambua tunaishi sasa sio Jana, hivyo ishi sasa
 


Umetoa ushauri wa busara sana mkuu.

Wengi tutajifunza kupitia hii comment.
 
tafuta sehemu hata uvolunteer for free kwa muda ndo kazi zinapatikana hivo sikuhiz, pia itakusaidia kutengeneza connections mpya.usiogope kuanza upya that's life
Nimeomba sehemu nyingi ngoja niendelee kufanya application. Asante kwa ushauri.
 
Asante mkuu, shule niliyopitia kipindi hiki ni kubwa mno. Naomba Mungu akinipa neema nisije kusahau haya mafunzo.
 
Kuna watu toka wamalize elimu zao hawajapata ajila kwa ww ambae uliwai kupata ajila nafasi yako imekwisha pisha wasioajiliwa,

Acha kuwaza kuajiliwa embu jiajili mwenyewe tafuta jambo ufanye ukiwa na pesa kiasi fulani nenda kwa fundi piki piki mpe mwambie nimekwama naomba nikae hapa ofic kwako nijifundishe kazi ndogo ndogo na hii pesa ndio sehemu yangu ya malipo yangu, ukae pale ujifundishe ufundi mwisho wa cku utakuwa fundi kamili na utakuwa umejiajili mwenyewe.
 
Pole sana. Usikate tamaa.

Kama huna wategemezi hakikisha unajizuia na kutokuwa na matamanio mengi na makubwa hasa kipindi hiki usichokuwa na ajira. Hiyo itakupunguzia hasira taratibu na pressure. Matamanio yako ya siku yawe ni kupata chakula na sehemu ya kulala. Baada ya muda uta stabilize afya yako then utaanza kuwaza kwa usahihi.
 
Asante madam..nitakutafuta private.
Mshana Jr you are a blessing. Hakika nimefarijika sana.
 
Upo sahihi kabisa. Ukitaka kumshukuru Mungu tizama walio chini yako either kwa kipato, afya matatizo nk lazima utajikuta unamshukuru Mungu na kupata nguvu mpya
 
Tatizo lililopo unashindwa kukubaliana na hali iliyolukuta unataka kufosi maisha.
Kuna watu wamesoma na hawajawahi kuajiriwa, mtu hajawahi kumiliki hata sofa na maisha yanaendelea tu.. maisha yakibadilila na wewe unapita nayo japo ni ngumu kama ulishazoea mambo mazuri.
Nna bro wangu saivi kawa kama omba omba tangu aachishwe kazi nmemwambia hayo maisha unayoona unayaishi saivi sisi ndo maisha yetu ya kila siku kaza msuli Bro.
Depression zipo sana kikubwa usikae pekeyako, nenda mtafute Mungu hudhuria kanisani ,jipe moyo utashinda...

MUHUBIRI:3
Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.
Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa
Wakati wa kulia, na wakati wa kucheka;
Wakati wa kuomboleza, na wakati wa kucheza
Wakati wa vita, na wakati wa amani.
Wakati wa kutafuta, na wakati wa kupoteza
 
Huna kazi lkn pesa za kunywa pombe unapata, aisee upo vizuri sana unahitaji zaidi pongezi na sio maombi

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na moyo wa uvumilivu na ujasiri kijana miujiza inatendeka kila siku.
 
Upo sahihi kabisa. Ukitaka kumshukuru Mungu tizama walio chini yako either kwa kipato, afya matatizo nk lazima utajikuta unamshukuru Mungu na kupata nguvu mpya
Kuna mtu anaumwa muda huu, hana kitu na familia inamtegemea yeye.. Hii changamoto ni kubwa sana
 
Jifunze boda boda ingia road
 
Haupo mwenyewe tupo wengi... Nimetafuta connection hadi na ibilisi sijapata
 
Jamani natafuta kazi ya kupika ,mie najua kupika saana,mtu yeyote anataka mpishi anicheki,mshahara uanzie laki na 80 asanteni
 
Huo utakatifu wako ulipewa au umejipachika tu, usije ukawa umejitaftia gundu mwenyewe.
Labda upo kwenye stage ya ku prove imani yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…