Nahisi naanza kuchanganyikiwa, wapi nitapata tiba?

Wana jf ndio wanapendaga thread kama hizi ole wako useme ww ni tajiri watakufyonza ubongo!
 
I went through the same perod and am still stuggling to get out of it...... usijiinguze kwenye. Ulevi mwanangu komaa tu mi nimejikuta niko kwenye ulevi mzee pombe plus ugoro and i cant find a way out of it najikuta nikiwa na mwwazo nabwia tu mzeee to look and feel okay watu wa nje wqnaona am doing just fine ila ndani yangu niko ovyo kinoma.....

Kila kitu kinapita
 

Pôle sana mkuu. Usikae mwenyewe ndani, tembea tafuta kijiwe ukapige story unaweza pata mchongo huko kijiweni
 
Pole sana ndugu! Kifupi umeshikwa na depression ya hatari! Na njia bora ya kutoka hapo ni kupata ushauri nasihi...kama waweza watafute. Ila kama huwezi naomba anza kwanza kukubali kuwa maisha yamebadilika. Kumbuka nyakati maisha yalikua mazuri na uone ulivyojithamini ...huyu ni wewe yuleyule ambae sasa hujithamini..why? Jitahiri urudishe dhamani ya utu wako..kwa kujali afya..na uzima wako. Usijitoe udhamani kwa kukosa vitu...wewe ni binadamu yuleyule..vilivyobadilika ni vitu...ukijipenda hutawaza kujidhuru..au kujiacha hovyo..maana jinsi unavyojiacha hovyo..ndio unapoteza sifa zaidi za kuajirika!
Pili angalia upande wako chanya..je utaalamu uluonao unaweza tumia kujiajiri? Au je unaujuzi mwingine waweza kutumia ili kujiajiri?

Haya ni yangu machache..anza nayo uone utasaidikaje....jipe moyo..maisha ni mitihani..but ndani yetu tumepewa nguvu ya kushinda..uamuzi ni wako..kupambana au kulala!
 
Usikubali kamwe maisha yakushinde!! Pambana mpaka mwisho ili uyashinde. Hakuna namna. Usikubali kirahisi kushindwa.

Tafuta fursa yoyote ile ili ikupatie riziki! Usisahau kumtanguliza Mwenyezi Mungu katika kila jambo.
 
Duh pole sana...I can feel what you are going through
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…