Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

keypass

Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
92
Reaction score
146
Habarini wakuu!

Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya hili linalonikuta ndugu yenu. Najua kutakuwa na kejeli na dhihaka lakini yote nitashukuru. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ambae nimefunga ndoa na ndoa ndiyo kwanza ina miezi sita.

Tatizo langu liko kwenye upande wa nguvu za kiume. Nashindwa kabisa kumridhisha mwenzangu sababu ni kwamba siwezi kurudia tendo kwa mara ya pili na hata hicho kimoja yaani ni haraka kama kuku hata dakika tatu haziishi.

Nimejaribu dawa mbalimbali pasipo mafanikio yoyote. Najua kabisa namtesa mke wangu lakini nimeshindwa namna.

Nimekuja kwenu wanajamvi mpate kunishauri by the way mazoezi na vyakula nazingatia sana mimi sio mtu wa kunywa pombe wala vinywaji kama soda na juice za viwandani sio mpenzi.

MAONI YA WADAU


------

-------
 
Kinachokutesa ni saikolojia ya tendo lenyewe, unapanik sana kuhusu madhaifu yako so unazidi kuharibika kiutendaji siku hadi siku. Tafuta mtaalamu wa saikolojia akurekebishe, ongea na mkeo vizuri kuhusu hilo tatizo ili awe anaenda na wewe ado ado. Hii inaweza kuwa ni njia moja ya kutatua hilo jambo. Kama unahitaji maelezo zaidi uliza tu.
 
Shukran sana kwa ushauri! Huwa najitahidi kushusha pressure kabla ya tendo lenyewe lakini suala la saikolojia muhusika unaweza ukajiona huna tatizo la saikolojia kumbe unalo acha nitafute mtaalam wa saikolojia pia
 
Shukran sana kwa ushauri!huwa najitahidi kushusha pressure kabla ya Tendo lenyewe lakini suala la saikolojia muhusika unaweza ukajiona huna tatizo la saikolojia kumbe unalo acha nitafute mtaalam wa saikolojia pia
Unashushaje presha?
 
Shukran Sana Kwa ushauri!huwa najitahidi kushusha pressure kabla ya Tendo lenyewe lakini suala la saikolojia muhusika unaweza ukajiona huna tatizo la saikolojia kumbe unalo acha nitafute mtaalam wa saikolojia pia
Ok sawa ila daktari wa huo mtanange ni mkeo, mkeo anaweza kukutibu haraka sana. mkeo wakati wa mnyukano ile umeingiza usianze kusugua itulize kama dakika mbili ndani.

Hii itakupa kuzoea joto na ile hali ya kuwa ndani huku ukivuta pumzi na kujicontrol then anza in out zako mdogo mdogo, ukiona wazungu wanataka kutoka tulia tena na uvute pumzi fanya hivyo mpaka muda unaoona unafaa wewe maybe nusu saa nk.

Rudia zoezi hili mpaka ulizoee kabisa utakuja kutoa mrejesho utakuwa noma goli la kwanza unaenda nusu saa mzee baba. Ila mkeo akuvumilie wakati huu unajifunza how to control ur self. Karibu kwa zaidi kama bado hujaelewa.
 
Mkuu tendo la ndoa huongozwa na hisia. Naamini tatizo halitokuisha kama utaendelea kujiona dhaifu mbele ya mkeo.

Mosi jipe muda wa kutosha wa kumuandaa mkeo, Usiwe na mawazo hasi kuhusu hali yako.
Fanya mazoezi kweli maana isije kuwa unachezacheza ukasema unafanya mazoezi.

Ni vyema wa wakati wa tendo lenyewe ukawa unafikiria vitu vingine kabisa hii itasaidis kukufanya uchelewe kukojoa.

Muone Psychologist Akusaidie.
 
google helper, Chief Mwenyezi Mungu akubariki sana yaani! Nimekupata vyema kabisa,kuna jamaa yangu katika kutafuta ushauri aliniambia mke wake alikuwa bega kwa bega na yeye katika kutatua hili tatizo,bahati mbaya mimi mke wangu kuna muda tunakuwa pamoja kuna muda ana panick sana full misengenyo Ila all in all ni muelewa acha nikae nae chini nilifanye hili zoezi pia. Shukran Sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…