Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

Angalau ungetuambia aina/majina ya dawa ulizowahi kutumia ili tuanzie hapo.
 
Angalau ungetuambia aina/majina ya dawa ulizowahi kutumia ili tuanzie hapo.
Amekwambia kutafuna tafuna tangawizi… mazoezi ya kegel alafu asali na maziwa vilihusika na pia alimshirikisha mke wake kutatatua tatizo kwa pamoja nadhani hii ndio sehemu kubwa iliyomsaidia
 
Mkuu ni muda mrefu ila naomba niseme hili zoezi lilinisaidia plus tangawizi kutafuna tafuna ka kegel exercise pia zilinisaidia,be blessed.Asali na maziwa vilihusika pia.
Kegel ulifanya kwa mda gani
 
1. fanya mazoezi (Gym au nyumbani, ninapendekeza mazoezi ya kukimbia kuanzia 5.KM per day);
2. Kunywa maji ya kutosha;
3. Kula chakula bora ikiwemo mboga za majani na matunda kwa wingi.
Mwezi unatosha kubadilisha hali yako.
 
Hapana before nilikuwa sawa, enzi za boys nyeto zilihusika sana lakii niliacha na nikahisi kuna tatizo but baadae nikawa sawa bao tatu zikawa kawaida Ila baada ya kufunga ndoa ndio mambo yakuwa lukumba lukumba
Mwendo wa kobe mayelemayele na mwendo wa chui kuwindawinda🤣🤣
Umebakisha njia ya paradiso 🤣🤣🤣
 
Ngapi Huko, Mrejesho Upo Wapi Kuhusu Tiba Ya JF
 
Back
Top Bottom