Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

Nahisi ndoa yangu inaelekea ukingoni kutokana na tatizo la nguvu za kiume

Pata muda wa kukimbia japo km 5 kwa siku,push up jitahid upate ata 50 japo u aweza anza ata na 10 skwash 50 japo unaweza anza na 10,kunywa chai ya tangawiz sukar iwe asali,kama una uwezo wa kupata tikiti maji saga na changanya na ndimu kidogo iwe ndo juic yako kila siku alafu ukiwa unasex uwe unaamisha mawazo yaan baada ya kuwaza ngono we waza jambo la uzun hasa apo utaenda ata dk 40.Ishu kubwa ni saikolojia tu kuiweka sawa.
 
Mzee mrejesho basi, maana ni miezi sasa imepita
 
Hili ndo jibu. Huna shida.

Ukipiga bao la kwanza. Pumzika kidogo kama dk 5 hivi baada ya hapo chukua uume hata kama umelala. Chezea kwenye kisimi endelea tu utaona matokeo ukisimama kulala majaliwa.

Pili ondoa akilini kama una shida.

Fanya mazoezi kila siku tumia si chini ya dk 30 daily. Utakuja mipa majibu.

Huwa nawaomba mademu wabishi kwa style hii huwa wanasimulia
Kinachokutesa ni saikolojia ya tendo lenyewe, unapanik sana kuhusu madhaifu yako so unazidi kuharibika kiutendaji siku hadi siku. tafuta mtaalamu wa saikolojia akurekebishe, ongea na mkeo vizuri kuhusu hilo tatizo ili awe anaenda na ww ado ado. Hii inaweza kuwa ni njia moja ya kutatua hilo jambo. Kama unahitaji maelezo zaidi uliza tu.
 
Basi kwa hapo jaribu kutumia natural remedies kama Tangawizi na asali mkuu. Kunya maji mengi pia kula ndizi mbivu kwa wingi naimani utaimarika within no time. Huenda mwili wako umenyonya mafuta sana na wengi tunatumia mafuta yasio salama. Tangawizi tafuna kila siku pia kunywa na maji ya kutosha. Itakusaidia sana

Ushauri huu umenifaa sana hata Mimi , ahsante
 
mkuu tafuta mizizi ya mgomba/mdizi ni kiboko ya hilo tatizo ila kabla ya kutafuna hio mizizi wife awe karibu kabisa ni angalizo hilo
Duh unaitafuna ikiwa mibichi?au kuna njia ya kuiandaa
 
Kinachokutesa ni saikolojia ya tendo lenyewe, unapanik sana kuhusu madhaifu yako so unazidi kuharibika kiutendaji siku hadi siku. Tafuta mtaalamu wa saikolojia akurekebishe, ongea na mkeo vizuri kuhusu hilo tatizo ili awe anaenda na wewe ado ado. Hii inaweza kuwa ni njia moja ya kutatua hilo jambo. Kama unahitaji maelezo zaidi uliza tu.
Tafuna vitunguu Swaumu (kizima)vibichi kila siku utafune pamoja na karanga mbichi au korosho na ufanye mazoezi ya kutembea au kuendesha baiskeli umbali mrefu inawezasaidia.Jitahidi kula vyakula asilia visivyo na mafuta au mafuta kidogo sana.juice yako iwe ya mchanganyiko wa tikiti maji,beetroot na limao. Kwa umri wako unatakiwa uwe kwa uchache unapiga goli 4 kwenye show moja. Tena goli 2 za kwanza unaunganisha ndani kwa ndani.
 
Habarini wakuu!

Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya hili linalonikuta ndugu yenu. Najua kutakuwa na kejeli na dhihaka lakini yote nitashukuru. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ambae nimefunga ndoa na ndoa ndiyo kwanza ina miezi sita.

Tatizo langu liko kwenye upande wa nguvu za kiume. Nashindwa kabisa kumridhisha mwenzangu sababu ni kwamba siwezi kurudia tendo kwa mara ya pili na hata hicho kimoja yaani ni haraka kama kuku hata dakika tatu haziishi.

Nimejaribu dawa mbalimbali pasipo mafanikio yoyote. Najua kabisa namtesa mke wangu lakini nimeshindwa namna.

Nimekuja kwenu wanajamvi mpate kunishauri by the way mazoezi na vyakula nazingatia sana mimi sio mtu wa kunywa pombe wala vinywaji kama soda na juice za viwandani sio mpenzi.

MAONI YA WADAU



------


-------
wengi wa wenye mada kama hizi huwa ni waganga wa kienyeji, wanakuwa na account mbili moja ya kutoa hoja nyingine ya kuelekeza wapi dula lao la madawa ya kienyeji lipo. acheni kudanganya watu.
 
wengi wa wenye mada kama hizi huwa ni waganga wa kienyeji, wanakuwa na account mbili moja ya kutoa hoja nyingine ya kuelekeza wapi dula lao la madawa ya kienyeji lipo. acheni kudanganya watu.
Wewe ni mkurupukaji wa kimataifa...unaropoka...kuna mdau alishauri jambo la kawaida sana na limenisaidia..kama una waganga wako wa kienyeji wenye account mbili sio mimi.
 
Ok sawa ila daktari wa huo mtanange ni mkeo, mkeo anaweza kukutibu haraka sana. mkeo wakati wa mnyukano ile umeingiza usianze kusugua itulize kama dakika mbili ndani.

Hii itakupa kuzoea joto na ile hali ya kuwa ndani huku ukivuta pumzi na kujicontrol then anza in out zako mdogo mdogo, ukiona wazungu wanataka kutoka tulia tena na uvute pumzi fanya hivyo mpaka muda unaoona unafaa wewe maybe nusu saa nk.

Rudia zoezi hili mpaka ulizoee kabisa utakuja kutoa mrejesho utakuwa noma goli la kwanza unaenda nusu saa mzee baba. Ila mkeo akuvumilie wakati huu unajifunza how to control ur self. Karibu kwa zaidi kama bado hujaelewa.
Mkuu ni muda mrefu ila naomba niseme hili zoezi lilinisaidia plus tangawizi kutafuna tafuna ka kegel exercise pia zilinisaidia,be blessed.Asali na maziwa vilihusika pia.
 
Acha ujinga washe

Nguvu unazo nyingi zaidi ya nyati tatizo ni huruma za kijinga ulizo nazo zinakufanya uwe bwege na saikolojia inabadirika kwa sababu ya hofu zako

Hebu acha huruma kwenye mtombo wewe

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ni muda mrefu ila naomba niseme hili zoezi lilinisaidia plus tangawizi kutafuna tafuna ka kegel exercise pia zilinisaidia,be blessed.Asali na maziwa vilihusika pia.
Karibu saana, sisi ni ndugu moja mkuu.
 
Back
Top Bottom